Naomba kujua, mali za Hermanus Stayn zilizotaifishwa 1983, ziko wapi au nani anazimiliki leo hii?

Hizo ndege na mashamba yako chini ya umiliki wa nani? Huyo anaezimiliki alizipataje? Na kwanini yeye asilipe deni badala yake sisi ndio tulipe? Naomba ufafanuzi.
Kwa mawazo yangu.....ndege zitakuwa zilishatoweka kwa sababu ya kukosa usimamilizi na matunzo. Mashamba huenda yalikuwa chini ya umiliki wa serikali (kipindi cha Nyerere; kama ilivyokuwa kwa mashamba mengine yote yaliyotaifishwa) na baada ya ubinafsishaji kugonga hodi, yakachukuliwa na wajanja wachache.
 
Back
Top Bottom