Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 548
Kumbe wapiga dili tu mjiniMi nawaona kama wajasiriamali tu.
Akina nani hao?ngoja waje ...mkuu
Copy thatPesa haziletwi na stori
Hahahaha! Wanauza mbinu za kufanikiwa sio..Hao ni wazee wa fursa kwangu nawachukulia kama wafanyabiashara wengine tu.
kwa kweli mimi kusoma kitabu cha page mia tano kinachoeleza mambo rondomly nilishindwa aisee,motivation ni muhimu katika maisha ila ziendane na lengo mfano:unataka kujua mbinu za kuacha uvuvi badala ya kusoma kitabu cha page miatano nibora kutafuta makala au kitabu kidogo tofauti tofauti zinazoelezea mbinu za kuacha uvivu,ukisha maliza kujifunza mara moja anza utekelezaji.
kitabu kama rich dad poor dad ni kitabu kizuri sana lakini kina mambo mengi sana kiasi kwamba unaweza kujufunza mambo na usiyatumie kwa wakati huo hivyo baada ya muda utakuwa umesahau,hapo utaona ni bora kusoma kwa malengo na sio kusoma mavitabu mradi umesikia ni kizuri.
Naona umeanzisha uzi ili upate negative thoughts na hakika utazipata na nafsi yako itafurahKumbe wapiga dili tu mjini
Sina maana hiyo. Ulishasoma the power of positive thoughts?Naona umeanzisha uzi ili upate negative thoughts na hakika utazipata na nafsi yako itafurah
Hapana.Unataka Mauki na mkewe warudi kulima nyanya mkuu?
Chief mi nasoma between the lines na naona kbsa malengo yako ya kuanzisha huu uziSina maana hiyo. Ulishasoma the power of positive thoughts?
Uhuni
Wizi
Hakuna lolote
Wakukutia moyo ni familia na ndugu zako.. Ukiona wanazingua jitie moyo mwenyewe.. Au nenda kanisani
Mie sifanyi ujinga huo kwenda kumlipa MTU aniambie unaweza.. Maana popote nilipoweza niliamka nikaenda nikaanza kufanya.. Na naamini hakuna anayeweza kwa kukaa na kusikiliza.