Naomba kujua kuhusu Liquid Protector

Kuna kitu hapa hujakijua, hiyo protector haizuii kuvunjika kioo bali huzuia scratches ndo maana wakijuwekea huwa wana drill machine wanajaribu kuiscratch touch haiwezi kuweka alama. Wale wenye jyundo wazushi
Hao jamaa wanaoweka hiyo protector walikuja Kongowe Kibaha wakafanya hiyo biashara kwa siku takribani 3 kabla ya krismas.
Kuna jamaa yangu alishawishika na tecno yake yake spark 3 akaipeleka ikatolewa ile protector yake ya glass na wakamuwekea hiyo liquid kwa gharama ya shilingi 10,000 za kitanzania.
Ni juzi tu alikuwa akifunga kamba za viatu vyake ndipo hiyo simu ikatoka mfuko wa shati ikaanguka chini na tachi imevunjika kabisa.
Nadhani hao jamaa pia ni wadanganyifu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1D0DB710-BF18-4E2D-8BE3-6317FF978DAA.jpg



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom