Naomba kujuzwa Location/csehem nzuri ya kuweka ofisi ya kuchomelea(welding) Dar au Pwani

first-man

Member
Jun 14, 2023
5
1
Habari zenu wakuu.

Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri mwenyewe kwenye fani hii ya uchomeleaji/welding lakini sina uzoefu ama experience na kazi hii.

Nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri wenu ili nipate walau mwanga kutoka kwenu ili nijue naanzia wapi. Naamini Ushauri wenu na mapendekezo yatakuwa faida si kwangu tu bali hata kwa yoyote yule humu ambaye ata wiwa na kazi hii.

Nilikuwa naomba ushauri wenu wapi ni sehemu nzuri kwa mkoa wa pwani kuanzisha ofisi ya kuchomelea ambapo nitaweza kupata wateja wengi kwa muendelezo.

Mimi niko Dar lakini nimewaza nitoke kidogo nje ya mji nikaanzishe ofisi hiyo mkoa wa pwani kwa kuwa naona kunajengeka kwa speed sana. Karibuni kwa ushauri wenu na mapendekezo
 
Connection ndio kila kitu, ni wateja wachache sana wanaomfuata mtu kumpa kazi kwenye ofisi yake, ukiona mtu anakuja kwenye ofisi yako basi ni kazi ya pesa ya kula tu.
 
Location inategemea na wewe ila kama mdau hapo alivyoshauri tengeneza konekisheni ya wateja.
 
Back
Top Bottom