jisanja
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,075
- 684
Habari za Leo wanaJF,
Kwanza kabisa naomba kudeclare interest "Mimi n mroman catholic"
Katika pita pita zangu nmekutana na habar za huyu CESARE BORGIA wengi wakisema kua alikuwa mtoto wa papa akiwa na Mdogo wake lukresia...mengi yameongelewa lakin kubwa zaid Lililonishangaza n madai ya kuwa picha yake ndo inayotumika kama picha ya Yesu kwa sasa!
Pia Leonardo DA Vinci ametajwa pia kwenye habar za huyu bwana! He kuna ukwel wowote kuhusu yanayosemwa?
Je wanajamvi kuna yeyote mwenye uelewa zaid kuhusu hili?