Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Habari za Leo wanaJF,

Kwanza kabisa naomba kudeclare interest "Mimi n mroman catholic"
Katika pita pita zangu nmekutana na habar za huyu CESARE BORGIA wengi wakisema kua alikuwa mtoto wa papa akiwa na Mdogo wake lukresia...mengi yameongelewa lakin kubwa zaid Lililonishangaza n madai ya kuwa picha yake ndo inayotumika kama picha ya Yesu kwa sasa!

Pia Leonardo DA Vinci ametajwa pia kwenye habar za huyu bwana! He kuna ukwel wowote kuhusu yanayosemwa?

Je wanajamvi kuna yeyote mwenye uelewa zaid kuhusu hili?
 

chimela

Member
Jul 14, 2016
63
150
Brian Deacon ndio mtu ambaye picha yake inatumika kama picha ya yesu tangu miaka ya 70
 

Innocenthezron

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
396
500
Picha yake ilishawah kutumika kama yesu kwa kipindi flan ila sio mpk xahv na pia leonard da vinci aliajiliwa na mshkaji kama engineer na ndo aliechora picha zake ambazo baba ake kama ulivosema kwamba ni papa akaamua itumike kwa muda ule........ Picha zinazotumika sasa ni za brian deacon lakini based on ile picha ambayo yesu alimuachia veronica kipindi kile... Ani brian deacon sawa lakini aliefanya make up ili afanane na ile picha ya yesu alopewa veronicah
 

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Picha yake ilishawah kutumika kama yesu kwa kipindi flan ila sio mpk xahv na pia leonard da vinci aliajiliwa na mshkaji kama engineer na ndo aliechora picha zake ambazo baba ake kama ulivosema kwamba ni papa akaamua itumike kwa muda ule........ Picha zinazotumika sasa ni za brian deacon lakini based on ile picha ambayo yesu alimuachia veronica kipindi kile... Ani brian deacon sawa lakini aliefanya make up ili afanane na ile picha ya yesu alopewa veronicah
Navojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!
Ilikuaje huyu Papa akawa na familia na ikawa recognizable na kanisa?
 

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,816
2,000
Hapana tafuta huyo MTU Cesare borgia

Brian Deacon
upload_2016-11-29_9-32-48.jpeg


Cesare borgia
upload_2016-11-29_9-33-7.jpeg
 

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,816
2,000
Navojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!
Ilikuaje huyu Papa akawa na familia na ikawa recognizable na kanisa?
Haikuwa familia....ni utaratibu ule wa Kifungilo.
 

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,821
2,000
Yesu hakuwa na picha na hatumfaham kwa sura .tunamfaham kwa matendo na maneno yake. Ni ujinga kuhangaika na sura au sanamu ambazo tumezichonga tukisema ni za Yesu. Yesu yupo moyoni
Mkuu pongezi kidogo kwa kuwa na imani nzuri ila kuna jambo unalolisahau, kama ulivyopokea maandiko ya biblia tambua kuwa hata picha za Yesu zilikwepo. Kwa hiyo waigizaji wanachofanya wanamchukua mtu anaefanana na Yesu ndio anacheza part yake. Kumbukumbu zipo vatican na jerusalem. Soma zaid uelewe mkuu wangu.
 

mhnk

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
639
500
Sidhan Kama MTU mwenye akil timam anaweza fika hukoo maana Mimi nmeomba kufahamishwa
Kwa anaejua
ebu kaicheki movie series inaitwa "The Borgias"ni filamu ya kusisimua inayoelezea maisha ya huyu Papa na utawala wake...ni kweli alikuwa na familia..mwanawe wa kiume alikuwa mkuu wa majeshi katili..alimuua shemeji yake kisa kumpiga mimba dadake!kumbe naye alikuwa anakula tunda la dadake....nisikumalizie uhondo itafute...
 

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,022
2,000
Hapa ndo unapokuja kugundua umuhimu wa church history kupitia kanisa mama Catholic church.
Papa Alexander VI (1492-1503),alikuwa papa wa kipindi muhimu katika historia ya ulaya ambacho huitwa renaissance au enlightenment ama middle age.(karne ya 14-17) kipindi hiki kilikuwa na mabadiliko kisayansi, muziki, dini, Sanaa nk. Hata waliosoma somo la historia ngazi za chuo wanakijua vizuri kipindi hiki ambacho makanisa ya kiprotestant yaliibuka kumpinga papa huyu. Kabla ya hapo kulikuwa na kanisa Moja tu. Catholic Church.

Huyu papa alikuwa na watoto wanne
-Giovanni
-Cesare/Cesar
-Lucresia
-Gioffre

Akina Martin Luther na kanisa la kiluther walianzisha kanisa kumpinga Papa huyu ambaye alikuwa na sifa nyingi chafu. Hayo ni machache, yapo mengi sana kuhusu Papa Alexander VI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom