Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.
Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?

Ndg Mimi ni mkiristo
So what!!!

Naweza kuwa msaada kwako sipendi watu wapotee
Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...

, Anza Leo ujifunze bible usikaririshwe vijimaneno vya wasaka faida kwa mgongo wa yesu.
Sasa wewe naona huna hoja bali viroja....
Jifunze Bible kwani zimeandikwa kwa kiswahili lahisi sana.
Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???

Wewe nimeshakwambia jukwaa lako ni kule jokes na celebrity....
 
Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.
Ndg Mimi ni mkiristo Naweza kuwa msaada kwako sipendi watu wapotee, Anza Leo ujifunze bible usikaririshwe vijimaneno vya wasaka faida kwa mgongo wa yesu.
Jifunze Bible kwani zimeandikwa kwa kiswahili lahisi sana.
Hakuna mkristo boya kama wewe, labda ukisema wewe ni msabato nitakuelewa.
 
Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?

So what!!!

Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...

Sasa wewe naona huna hoja bali viroja....

Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???

Wewe nimeshakwambia jukwaa lako ni kule jokes na celebrity....
Hapo kwenye red ni nini hicho ulichoandika. .? Nimekuambia kama unataka majibu anzisha thread nitakuja kukujibu ..au hujui kuanzisha uzi...?

So what!!!

Kabla hujaanza kuwa msaada kwangu jisaidie kwanza wewe kulijua Neno la Mungu na Historia ya Ukristo....Kwa kifupi wewe ni empty set...

Sasa wewe naona huna hoja bali viroja....

Kama kuandika tu kunakushinda ndio utaweza jadiliana na mimi...???

Wewe nimeshakwambia jukwaa lako ni kule jokes na celebrity....
Umeshindwa hoja lazima uwe kioja!
 
Ww ndio unatoa story za vijiweni, hii habari iliandikwa na E.G.wight tafuta kitabu cha huyu mama. Tumaini Kuu
Muadventist ww, mana mnasomaga kitabu cha Elen G. White. Mhuni maarufu wa marekani na mwanzilishi wa SDA, ila una ujasiri kweli kumtaja huyu mama, wenzio wakitajiwa tu wanakuwa wapole ghafla. Pole sana mkuu
 
Kweli wewe Mkiristo.....
Ulishindwa kujibu hoja ukaanza kufatilia vimakosa vya kiuandishi ili kuonyesha hoja yako ni thabiti.
Pole sana siku moja utajua kweli ila inawezekana muda utakuwa umekupa mkono.
Pole Sana nisamehe kama kuna nilicho kukwaza nilikuwa ni kukuelewesha kweli uliyo ikanyaga.
 
Anzisha uzi nitakuja kukujibu huko...Hapa ni kubaka uzi wa watu.....
 
Acha kukurupuka mkuu hauoni hapo juu kuna pande mbili zinakinzana
Kuna ambao wanataka wafahamishwe kutoka katika biblia wapi walipoandika kuhusu masanamu na hiyo picha /sura ya yesu na upande mwingine unajaribu kukwepa swali na kujificha katika kivuli cha mara maneno ya kijiweni mara bible isingeweza kuandika yote mara yesu alitembea juu maji
Kwa akili zako ndogo unafikiri suluhisho la kumaliza mjadala huo ni nini ?? Na kama cyo kuletwa kwa hapo palipoandikwa kuhusu wanalohoji hao wakuu hapo

Tujadiliane kwa staha ili mjadala uwe na afya.
1.Sanamu zinazowekwa katika kanisa katoliki sio kwa ajili ya kuzifananisha na Mungu bali ni kwa ajili ya kujikumbusha matendo makuu ya Mungu.Haya mambo yapo tangu zamani,Soma Hes.21:8-9.
2.Picha ya Yesu aliyozawadiwa Veronika ni Mapokeo ya mababu wa Imani.Kuna mambo mengine kanisa limerithishana kwa njia ya simulizi.Haiingii akilini kuamini kwamba yaliyoandikwa katika biblia tu ndio yalifanywa naYesu au Mitume wake.Hii ipo popote hata katika hali ya maisha ya kawaida.Kuna mambo katika Jamii wamerithishana kwa njia ya masimulizi.Uthibitisho zaidi wa hili soma Yoh.21:25.
 
Shangaa papa anakuwa na Mtoto,RC na hizo picha iwe ya nani au nani in sanamu tu za waigiza na wengi watapotea kutokana na hizo picha.
 
Kwa kitu gani...??
,
Mleta mada anataka kujua kama Papa huyo anayemtaja alikuwa na watoto...Sasa hii yako umetolea wapi..?

Aliyekwambia hakuna picha halisi ya Yesu ni nani...? Kabla ya ujuo wa Yesu kulikuwa na Makaisari wa Roma na picha zao zipo iweje ya Yedu ikosekane.....Unafikiri karne hizo kulikuwa hakuna wachoraji mahiri..??

Aliyesema picha za waigizaji zinachukuliwa ni nani...?? Nani hao umeona wanaabudu picha hizo..? Vipi ile picha ya babu yako alifariki huwa unaibudu..?? Kwanini unayo na usiichome moto...?

Nakuuliza tena wewe kizazi cha nyoka ..Nani umeona anaabudu picha...?????

Hapa umeandika kitu gani...??
Kusema, kwel nimepend unavyowajibu hawa viumbe, ila naww una uhakika
 
I read somewhere kua Cesare Borgia alikua na uhusiano wa kingono na Leornado Da Vinci ( he was a homo)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom