Part 1: Maajabu ya kuishangaza dunia

khamis kilo

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,049
1,192
Caesar Borgia alikuwa ni mtoto wa Papa Alexander 8.

sasa basi,kuna jamaa aliwah kutokea miaka ya nyuma huko jina lake anaitwa Leonardo da Vinci,huyu jamaa alikuwa na akili nying tena za ajabu.

inaelezwa kwenye vyanzo tofaut tofaut vya habar kwamba yeye ndio mwanzilishi wa picha za PORTRAIT pia kafanya mengi makubwa kutumia kipaji chake cha uchoraji tu.

story zake mbali na michoro sizijui.

alikuwa anatumika na nguvu za giza pamoja na kipaji chake hicho cha kushangaza ulimwengu.

kipind fulan aliichora picha ya Caesar borgia ambaye ni mtoto wa papa Alexander.

ile picha aliichora vile vile na akatumia mbinu mbinu zake akailemba kidogo ikawa na mwonekano tofauti.

Lakini ile picha ki uharisia hàkua amemchora Caesar Borgia bali Alikua kamchora malaika aliye hasi mbinguni.
kutokana na maarifa aliyoyapata kwenye ulimwengu wa roho wa giza alifanikiwa kupata sura halisi ya huyo malaika.

ikaundwa mikakati wa huo muonekano upenye kupitia dini na kusema kweli ulishapenya sio siri.

baada ya siku kupita ikafanyika mikakati ikatafutwa idea ya kutengeneza movie itakayoonyesha maisha ya YESU aliyoishia akiwa hapa duniani.

wakaitisha watu tofaut tofaut zaid ya 200 kwaajili ya usaili wa kutafuta mtu mwenye muonekano kama wa YESU lkn ki uharisia kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambaye ni huyo malaika muhasi.

huku na huku ndio Sasa bahati ikaangukia kwa Brian Deacon alishinda kwenye mchujo ule na ndie ambaye ali act kwenye ile movie ya YESU.

akafanyiwa na tu make up kidogo akawa amefanana na malaika muhasi.

movie ilichezwa na lengo lao lilitimia.

Leo hii mtu akiona picha ya Brian Deacon anasema ni Yesu.

huyo Brian Deacon mwenyewe aliyecheza kama YESU alikuja kuujua ukwel wa hayo mambo siku nying mno zimeshapita ndio maana mara kadhaa alikuwa akihojiwa anawambia watu waache kumsujudu yeye sio YESU.

asilimia kubwa ya waumini wakiwa wanasali,akilini wakivuta picha ya YESU inawajia picha ya Brian Deacon.

wenyewe huko lengo lao lilishapiga hatua kwa kiasi kikubwa sana.

lkn picha ya YESU harisi haipo.

N.B. picha ya Brian Deacon pichani,hapo alikuwa yupo location wakati akiigiza movie ya maisha ya YESU.
ac6d228a223c08f564b331d16cf8bd46.jpeg
a8ebf934408bcf22bf680be09e832126.jpeg
6d1940219ea1237eae3597cd1b14322c.jpeg
 
Caesar Borgia alikuwa ni mtoto wa Papa Alexander 8.

sasa basi,kuna jamaa aliwah kutokea miaka ya nyuma huko jina lake anaitwa Leonardo da Vinci,huyu jamaa alikuwa na akili nying tena za ajabu.

inaelezwa kwenye vyanzo tofaut tofaut vya habar kwamba yeye ndio mwanzilishi wa picha za PORTRAIT pia kafanya mengi makubwa kutumia kipaji chake cha uchoraji tu.

story zake mbali na michoro sizijui.

alikuwa anatumika na nguvu za giza pamoja na kipaji chake hicho cha kushangaza ulimwengu.

kipind fulan aliichora picha ya Caesar borgia ambaye ni mtoto wa papa Alexander.

ile picha aliichora vile vile na akatumia mbinu mbinu zake akailemba kidogo ikawa na mwonekano tofauti.

Lakini ile picha ki uharisia hàkua amemchora Caesar Borgia bali Alikua kamchora malaika aliye hasi mbinguni.
kutokana na maarifa aliyoyapata kwenye ulimwengu wa roho wa giza alifanikiwa kupata sura halisi ya huyo malaika.

ikaundwa mikakati wa huo muonekano upenye kupitia dini na kusema kweli ulishapenya sio siri.

baada ya siku kupita ikafanyika mikakati ikatafutwa idea ya kutengeneza movie itakayoonyesha maisha ya YESU aliyoishia akiwa hapa duniani.

wakaitisha watu tofaut tofaut zaid ya 200 kwaajili ya usaili wa kutafuta mtu mwenye muonekano kama wa YESU lkn ki uharisia kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambaye ni huyo malaika muhasi.

huku na huku ndio Sasa bahati ikaangukia kwa Brian Deacon alishinda kwenye mchujo ule na ndie ambaye ali act kwenye ile movie ya YESU.

akafanyiwa na tu make up kidogo akawa amefanana na malaika muhasi.

movie ilichezwa na lengo lao lilitimia.

Leo hii mtu akiona picha ya Brian Deacon anasema ni Yesu.

huyo Brian Deacon mwenyewe aliyecheza kama YESU alikuja kuujua ukwel wa hayo mambo siku nying mno zimeshapita ndio maana mara kadhaa alikuwa akihojiwa anawambia watu waache kumsujudu yeye sio YESU.

asilimia kubwa ya waumini wakiwa wanasali,akilini wakivuta picha ya YESU inawajia picha ya Brian Deacon.

wenyewe huko lengo lao lilishapiga hatua kwa kiasi kikubwa sana.

lkn picha ya YESU harisi haipo.

N.B. picha ya Brian Deacon pichani,hapo alikuwa yupo location wakati akiigiza movie ya maisha ya YESU.View attachment 1231394View attachment 1231395View attachment 1231396
Hii ndiyo ilm madrasaa. Unasoma chuo halafu ndiyo unaanza chekechea. Hatari sana
 
Kwahiyo ilitakiwa akisujudiwa akubali kwamba yeye ni Yesu.

Ebu tueleze lengo halisi la hao washkaji zako kuweka sura ya malaika muasi kwenye picha la Yesu.maana unaonekana unataka kutwambia mengi lakini huyajui.
 
Mafunzo yapo ya aina mbili, kuna ya nadharia na vitendo.
Wakristo hapa tunafundishwa biblia takatifu kwa VITENDO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom