Naomba kujua kama hili ni tatizo au ni hali ya kawaida

Lakikunene

Member
Jul 18, 2017
88
125
Habarini za muda ndugu zangu,

Naomba kujua kama hili ni tatizo au ni hali ya kawaida..,Ni hivi uume wangu huwa unasinyaa Sana nakuonekana mdogo pale nikiwa katika hali ya kawaida (normal condition) yaani nisipo kuwa na mwanamke au nikiwa tu mwenyewe bila hisia zozote, ila nikiwa na mwanamke inasimama vizuri tu nahuwezi kudhani kama ni ile iliyokuwa imesinyaa vile na inasimama makini bila shida na kwa size nzuri kabisa

Sasa tatizo ndugu zangu sometimes yani napokuwa hata nakojoa naona aibu kuitoa mbele za watu maana wengine wanaweza kudhani nina kibamia kumbe ni Tango

NB: Masturbation niliwahi kufanya lakini nakuacha kipindi nikiwa secondary Boys miaka kadhaa iliyopita.

Je, nifanye nini ndugu zangu hata ionekane/pia kutokusinyaa maana sometimes inaweza kuwa nikama fedheha kwa mpenzi wangu kama akinichunguza mybe wakati nimelala

MSAADA WENU TAFADHALI WAJUZI
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,036
2,000
Hilo sio tatizo,ni maswala ya kutokujiamini,binadamu hatufanani,hata wanawake pia maumbile yao yako tofauti sana hawafanani,ila kwa wanaume wale waliotahiriwa wakiwa wadogo sana yaani chini ya miaka 2, wengi wana hayo maumbile wakiwa katika hali ya kawaida, lakini wale waliochelewa kutahiriwa tuseme kuanzia miaka 10 na kuendelea wengi wao hata akiwa normal huwa wanaonekana na maumbile makubwa.
 

Lakikunene

Member
Jul 18, 2017
88
125
Hilo sio tatizo,ni maswala ya kutokujiamini,binadamu hatufanani,hata wanawake pia maumbile yao yako tofauti sana hawafanani,ila kwa wanaume wale waliotahiriwa wakiwa wadogo sana yaani chini ya miaka 2,wengi wana hayo maumbile wakiwa katika hali ya kawaida,lakini wale waliochelewa kutahiriwa tuseme kuanzia miaka 10 na kuendelea wengi wao hata akiwa normal huwa wanaonekana na maumbile makubwa...
Sawa Mkuu
 

Masterplan

Senior Member
Dec 10, 2019
153
250
Ikisinyaa inakuwa Cm ngapi ? Na baada ya kusimama je inafikia cm ngapi ? Maana usiseme inaonekana ndogo tu ila hujui udogo wake ni you
 

King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,141
2,000
We jamaa bhna...Sasa apo hofu yako nini,

...ubongo wako unakudanganya,acha tabii ya kuchungulia mboo za wanaume wenzako,...hii itabia itakupelekea ujidharau na utamani hzo unazo ziona zikuingie.

...narudi acha kuchungulia mboo za wanaume wenzako,wanaume tunachungulia vitumbua na matakako ya wadada..

Afu fanya Sana mazoezi,japo hyo hali ya kawaida Sana ukikaa sehemu za baridi au ukiwa busy Sana..
 

Masterplan

Senior Member
Dec 10, 2019
153
250
Mkuu ebu niambie inatakiwa iwe cm ngapi ili nifanye vipimo then nije na Feedback
Alafu pia ukumbuke watu tunatofautiana Kuna ambaye uume wake kabla ya kusimama unaonekana mkubwa Ila ukisimama haukui Sana unaongezeka kidogo tu na Kuna ambaye uume wake ukiwa umesinyaa unaonekana mdogo sana Ila ukisimama unakuwa zaidi hata ya yule ambaye ulikuwa unaonekana mkubwa ukiwa bado hujasimama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom