UFAFANUZI wa EVDO na 3G na HSDPA, Anayejua naomba tafadhali anieleweshe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFAFANUZI wa EVDO na 3G na HSDPA, Anayejua naomba tafadhali anieleweshe.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by stineriga, Jul 12, 2012.

 1. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ninafahamu sana vitu vingi vya tech lakin hapa nimegonga mwamba, anayejua naomba anipe ufafanuzi. Kuna Simu nataka nunua online inasema ina 3G kwa EVDO lakini haina HSDPA.

  Je, TIGO/VODA/AIRTEL wanayo hiyo EVDO? nahis ZANTEL wanayo sababu niliwahi kuwa na modem yao ilikuwa inaandika EVDO.

  je speed ya EVDO kwenye 3G na speed ya HSDPA kwenye 3G ipi ina speed zaidi?
   
 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Evdo ni data.3g side ya cdma ambayo hutumiwa na TTCL na Zantel, pia Sasatel, kama bado ipo.
  HSDPA ni 3g kwa network za gsm,gprs kama Airtel, Vodacom etc.
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  duh.....inamaana hako ka simu na kwa mitandao hiyo tu uliyoidhinisha mkuu?
  Hapo kwenye red wamaanisha nini imekufa au?
   
 4. j

  junior05 Senior Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa kuongezea kuhusu 3G,kwa hyo simu ambayo haina hsdpa, inamaana itakuwa kwenye umts,kwa kibongobongo UMTS not bad,unaweza kutumia, kuhusu hyo simu kusaport EVDO kwa hapa bongo sio rahisi kutumia kutokana na frequency kupishana simu nyingi zenye kusupport GSM/CDMA technology kama hyo unayotaka kununua, utatumia kwa GSM kwa speed ya 3G ya UMTS kwa network za aina hyo
   
 5. Srebrina

  Srebrina JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 776
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Naombeni bac namba ya chief mkwawa kama mnayo
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Wataka namba yake ya nini?
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mmh...:peep:
   
 8. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hii pia ni aina ya data accessing in 2G network(GSM)
   
 9. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  We mwanawe Chief Umemjulia wapi?
  Haya sasa umeulizwa wataka no ya nini Jibu swali
   
 10. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  tafadhali kirefu cha hizi netwwork ni nini, SAIDIA TAFADHALIEDGE==HSDPA==HSPA==UTMS==
   
Loading...