Masinde-morogoro-kibangir
Member
- Jun 8, 2020
- 30
- 18
tumia hvyo hvyo mkuu!! utakula maishaWakuu msaada, nimeweka proton vpn na iko active inaonyesha nipo SOUTH AFRICA lakin bado sipati hii mitandao mingine tena ikiwa active hata jamiiforam inagoma kufunguka tatizo ni nini hapo
Msaada tafadhali wengine kazi zetu zinategemea hii mitandao kwahiyo tumepigwa doro tu kwa sasa.