Naomba kujua jinsi ya kutumia VPN

Naomba kujua jinsi ya kutumia VPN

Wakuu Salaam

Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao

Asante
Kwani hapa umefikaje wakati bado mitandao ya kijamii imepigwa loba?
 
Mimi SAA izi nipo Canada , VPN bana imakupeleka hata sehemu hata hujawahi fika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom