Naomba kujua jinsi ya kupata bando la unlimited

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Wadau nimekuwa nikisoma hasa google namna ya kutweek imei za simu ili kupata zile unlimited bundles ila huwa sielew namna ya kufanya aisee maaan weng wanaelezea kwa mitandao ya kwao huko hasa ghana, nigeria na kwingneko.

Naomba kufaham kama kuna mdau anafaham tweeks hizo atufundishe hapa ili na sisi tufurahie unlimited bundles.

Yaani upate 10 GB kwa wiki au mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia bora ya kupata unlimited data bundle kirahisi ni kununua tu.

Hilo la IMEI wanachezaga wale wahusika wa ndani wa kampuni kwa kuleak IMEI ambazo hazijatumia za simu zenye offer. (SINA USHAHID-ni nadharia tu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nimekuwa nikisoma hasa google namna ya kutweek imei za simu ili kupata zile unlimited bundles ila huwa sielew namna ya kufanya aisee maaan weng wanaelezea kwa mitandao ya kwao huko hasa ghana, nigeria na kwingneko.

Naomba kufaham kama kuna mdau anafaham tweeks hizo atufundishe hapa ili na sisi tufurahie unlimited bundles.

Yaani upate 10 GB kwa wiki au mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi vifurushi vingi vya mitandao ni Gb za social media tu, unapewa GB 4 lakini 3 za facebook.hivyo haina hata haja ya kuhangaika sana.

Wanavyofanya unakuta Tigo anauza simu zenye offer mfano smart kitochi, ili upate hio offer inabidi uwe na imei ya simu husika, wajanja wanachukua hizo imei na kuziweka kwenye simu za kichina za mediatek na kuunga vifurushi.

Simu za mediatek zinweza kubadili imei kirahisi na imei wanazipata kwa kutowapa wahusika offer zao na kuzinakili pembeni imei ama insider wa hio mitandao.

Process yote hii mkuu si halali na line yako kuwekwa kwenye imei usiyoifahamu ni risk, siku akiua ama kufanya kosa lolote ujue na wewe utahusika pia.
 
Back
Top Bottom