Naomba kujua Google Map inajuaje njia?

Pia unaweza share location na mtu akakukuta ulipo bila kupotea. Mfano upo point A na mwenzako yupo B basi unaweza mtumia location ulipo afu yeye akapata ruti toka alipo mpaka kwako
 
Kuna kitu kinaitwa DATA MINING kwa wale waliopga course za computer university watakuwa wnaijua vizur.
Google, Facebook na makampun mengine makubwa wanatumia sana data tunazoingiza kwenye electronics devices zetu na locations zetu kujua maeneo yetu so hyo inasaidia ata kwenye matangazo ndio inafanya wakaina Larry page na mark zuckerburg wawe matajiri
 
Miaka kumi na tano nyuma google staff walikuwa Tanzania na kutembelea miji yote kwa kutumia barabara wakikusanya data. Vijana wa sasa hivi hawajui
 
Mimi na mwisho wa mwaka wananitumia zote, hata nikiwa karibu na eneo fulani, unakuta natumiwa " How was kitowo lodge" utasema niliingia

Umesimama zako nje ya Hyatt ukifika home unaulizwa How was Hyatt regency
Tatizo hamzimi location permission.

Yaan kwa nnachosoma humu naona kabisa hizi simu watu wanazi-misuse, yaan unaruhusu simu ijue kona zako zote unazopita na haustuki tu.

Kuna jamaa fln huwa anasema kwa dunia ya sasa google wanaelewa tabia za watu wengi kuliko taasisi yyt ile coz kwao kupata search history yako ni sekunde tu, ukiongezea na location zako watajua kabisa ww unafanya kazi wapi, sexual preference yako (gay, straight au les), uwezo wako wa kufikiri, na mambo mengine kede kede, labda USA inawabeba coz ni solution nzr kwa FBI.

Em fikiria ikitokea vita wakataka kulipua sehemu fln, si ni kitendo cha kutuma drone tu na kuifeed hizo maps.
 
Ni kweli mkuu
tatizo huwezi kuwa unawaza kuzima location kila wakati, mtu ukishatumia tu simu tayari uko Naked.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom