Naomba kujua Google Map inajuaje njia?

Naomba kujua Google Map inajuaje njia?

Aisee, upo serious? 🙂
Tatizo lako hujui kinachoendelea.

The moment umenunua simu ya android na ukaanza kuitumia. Taarifa zako zote za google services zinakusanywa na wao.

Hata ukipita njia yeyote ile, taarifa zako zinapelekwa server za google na mtu mwingine akipita hiyo njia itatoa suggestion based on taarifa walizokusanya toka kwako.

Sasa kama njia inapitwa na watu 1000 kwa siku wenye android devices, unadhani wanashindwa kujua hadi ukubwa wa foleni?
 
Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
Watoto wanajazana ujinga hao.

Wanadhani satelites za google zipo busy na barabara za tandale kwa tumbo.
 
Kuna namna mbili ama 3 za kutengeneza hizi ramani.
1.njia ya kwanza ambayo hutumika na makampuni makubwa yaliyo serious Magari yao hupita na kukusanya data, Magari yanakuwa na 3d camera ambazo huscan kila kitu,

2.wanatumia satelite ambazo zipo angani KUSCAN hizo bara bara na vichochoro, sema satelite hazina accuracy 100% kunakuwa na utofauti wa mita kadhaa.

3. Watu kama mimi na wewe unaweza ku submit eneo, sema hii inatumika kwenye google map sana ramani ambazo zina accuracy kubwa kama here maps hawatumii.
Option ya 1 na 2 ni kwa majiji makubwa yalioendelea.

Option ya 3 ni nchi za dunia ya 3 ambazo hazipo relevant sana kwao.
 
Tatizo lako hujui kinachoendelea.

The moment umenunua simu ya android na ukaanza kuitumia. Taarifa zako zote za google services zinakusanywa na wao.

Hata ukipita njia yeyote ile, taarifa zako zinapelekwa server za google na mtu mwingine akipita hiyo njia itatoa suggestion based on taarifa walizokusanya toka kwako.

Sasa kama njia inapitwa na watu 1000 kwa siku wenye android devices, unadhani wanashindwa kujua hadi ukubwa wa foleni?
Google mpaka Magari yao yanaiba data, yameshadakwa yanapita nyumbani kwa watu Yana crack password mtaa mzima na kukomba kila kitu,

Na serikali ya US inawachekea tu kifine kidogo alipikwa hela za vocha.
 
Tatizo lako hujui kinachoendelea.

The moment umenunua simu ya android na ukaanza kuitumia. Taarifa zako zote za google services zinakusanywa na wao.

Hata ukipita njia yeyote ile, taarifa zako zinapelekwa server za google na mtu mwingine akipita hiyo njia itatoa suggestion based on taarifa walizokusanya toka kwako.

Sasa kama njia inapitwa na watu 1000 kwa siku wenye android devices, unadhani wanashindwa kujua hadi ukubwa wa foleni?
Kampuni zao zipo vizuri katika kukusanya data kiasi kwamba inawezekana ukaenda kwa rafiki yako mkoa mwingine, ukafikia kwake, ukakaa siku nne au tano siku unaondoka unafika kwako unashangaa ukiingia kwenye browser yako unaona tangazo la dawa ya meno.

Ukikumbuka vizuri ni dawa ya meno ambayo uliitumia ukiwa kwa rafiki yako, so they saw two devices in the same vicinity for days na rafiki yako aliwahi agiza dawa ya meno online so they assume hata kama wewe usipoitaka yule waliyekuona upo naye karibu kwa hizo siku nne ataitaka.
 
Google map inafanya kazi kwenye Android na non-android devices. Sio lazima iwe Android device. Ila non-android devices sio zote. Baadhi tu.

Naamini jibu murua zaidi kwa alieuliza swali lingekuwa google map "inajua" njia kupitia gps satellite system mfano Galileo (Europe), Beidou (Chinese),
Glonass (Russian), original GPS yenyewe (US), etc
 
Kimfano juzi kati wamenitumia kwenye email maeneo na mikoa yote niliyokuwepo last month[emoji1][emoji1]
Mimi na mwisho wa mwaka wananitumia zote, hata nikiwa karibu na eneo fulani, unakuta natumiwa " How was kitowo lodge" utasema niliingia [emoji23][emoji23]

Umesimama zako nje ya Hyatt ukifika home unaulizwa How was Hyatt regency
 
Mpka lodge 🙌🙌🙌😂😂
 
Kampuni zao zipo vizuri katika kukusanya data kiasi kwamba inawezekana ukaenda kwa rafiki yako mkoa mwingine, ukafikia kwake, ukakaa siku nne au tano siku unaondoka unafika kwako unashangaa ukiingia kwenye browser yako unaona tangazo la dawa ya meno.

Ukikumbuka vizuri ni dawa ya meno ambayo uliitumia ukiwa kwa rafiki yako, so they saw two devices in the same vicinity for days na rafiki yako aliwahi agiza dawa ya meno online so they assume hata kama wewe usipoitaka yule waliyekuona upo naye karibu kwa hizo siku nne ataitaka.
Aiseee hii inawezekana vipi chief?
 
satelaiti inapiga picha,

then AI zao zinatofautisha njia na eneo la makazi (kwenye iyo picha) kwa kuangalia rangi za picha ( weupe dhidi ya weusi ),

AI inaenda mbali zaidi na kufatisha njia izo nyeupe mpaka destination husika, iki block mahali ( kwenye huo weusi hapo ) inatafuta njia nyingine, then inachambua njia ipi ni fupi zaidi

mkuu its' about AI za engines za Google
 
Aiseee hii inawezekana vipi chief?
Wazia Facebook.

Una rafiki yako anaitwa Ali.

Ali ana rafiki yake anaitwa Forum. Facebook inaassume kwamba kwakua una urafiki na Ali basi hata Forum unaweza kua interested naye, kisha Ali na Foram wanaonekana wanapost wako safarini wametumia ndege ya Fly Emirates wanaassume na wewe utakua unasafiri.

Na ikitokea unasafiri basi utaconsider Fly Emirates so wanakuletea matangazo ya Fly Emirates.

Same na huo mfano niliotoa. Isipokua hapo wanaangalia hizi devices zinakua karibu karibu mara ngapi kwa siku na kama location zenu zinasoma eneo moja mara nyingi.
 
Back
Top Bottom