Familia yaishtaki Google baada ya baba yao kufariki dunia kwa kutumia Google Maps iliyomwelekeza kwenye daraja lililovunjika

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Google.jpg


Kampuni ya Google kupitia app ya Google maps imeshitakiwa kwa kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyekuwa anaendesha gari.

Familia ya mwanamume mmoja kutoka Kaskazini mwa Jiji la Carolina nchini Marekani ambaye amepoteza maisha baada ya kufuata Maelezo yaliyopo kwenye Google maps.

Kupitia google map ilimpa njia ya kupita kwenye daraja ambalo lisilokuwa na alama yoyote ya tahadhari mbele kuonesha kama limevunjika na halitumiki.

Licha ya maoni watu mbalimbali kutoa taarifa kuhusu eneo hilo hatarishi lakini Google haijawahi kutoa taarifa yoyote kuhusu eneo hilo.

Google imetoa pole na salamu za rambirambi kwa familia ya mfiwa pamoja na kuanza mchakato wa kufuatilia kesi hiyo inayowakabili.
--

Watumiaji wa Google maps mjitahidi kuwa na tahadhari mnapotumia google maps maana kuna wakati inakupeleka sehemu ambayo hatarishi lakini haikuambi Chochote na kukusababishia shida.

Vipi Umeshawahi kutumia app ya Google maps na kukuingiza Chaka au lah tuachie maoni Yako?

-

The family of a North Carolina man is suing Google for negligence after he died from crashing into a creek below a collapsed bridge at the alleged behest of Google Maps, the Associated Press reported.

On 30 September 2022, state troopers found Philip Paxson drowned in his overturned pickup truck beneath a bridge that had collapsed nearly a decade earlier. Paxson, who was 47 and from Hickory, North Carolina (about 60 miles north-west of Charlotte), was returning home from his daughter’s ninth birthday before the accident, his mother-in-law wrote in a post on Facebook. She added that neither the destroyed bridge nor the road leading to it had any barriers or warning signs to alert drivers of the hazard.

“It was a dark and rainy night and he was following his GPS which led him down a concrete road to a bridge that dropped off into a river,” the post reads. “He will be greatly missed by his family and friends. It was a totally preventable accident. We are grieving his death.”

In addition to Google, the Paxson family’s lawsuit names a number of private property management companies who were responsible for the land where the crash happened and for surrounding plots, according to the Associated Press.

In a statement to the Guardian, a Google spokesperson said: “We have the deepest sympathies for the Paxson family. Our goal is to provide accurate routing information in Maps and we are reviewing this lawsuit.”

Lawyers for the Paxsons allege that several people have tried to flag the washed-out bridge to Google and have included email correspondence between a Hickory resident who tried to use the “suggest an edit” feature in 2020 to get the company to address the issue. Google never responded to the suggestion, allege attorneys.

“Our girls ask how and why their daddy died, and I’m at a loss for words they can understand because, as an adult, I still can’t understand how those responsible for the GPS directions and the bridge could have acted with so little regard for human life,” Alicia Paxson, Phillip Paxson’s wife, told the Associated Press.

Phillip Paxson is not the first person whose death has been tied to GPS.

In 2020, an 18-year-old Russian motorist froze to death after he and a friend were stranded in a vehicle for a week after following a Google Maps route through the country’s notorious “road of bones”. In 2019, a truck driver in Jakarta, Indonesia, drove off a cliff after following a Google Maps route that was only meant for motorcycles, the Straits Times reported. In 2015, 51-year-old Zohra Hussain died in a fiery car accident in Indiana after her husband, who was following his Nissan Sentra’s built-in GPS, drove off an unmarked toll road that led to a demolished bridge. Her husband, Iftikhar Hussain, sued the state of Indiana over the lack of barricades, according to the Chicago Tribune.

Source: Family sues Google after Maps allegedly directed father off collapsed US bridge
 
Teknolojia Ile sometimes inakwama
Ikwami yenyewe, wanakwama wanaoingiza data!! Mfano kuna siku niko posta natafuta pharmacy (jina kapuni) nshafika lakini pharmacy siioni kumbe wameweka destination barabara ya nyuma sio ya mbele!! Unapokua unaset eneo male sure accuracy ni kubwa warau 1to 2 meters
 
Siku atakufa mtu kisa amekunywa dawa aliyoshauriwa atumie na wanafacebook tutalalamika Meta imemsababishia kifo.

Google map si tunaiupdate wenyewe watumiaji, tunafunga barabara, tunasema duka flani lipo, njia flani mbaya etc.

Sidhani kama kosa lao Google hapa.

Poleni wafiwa.
 
Mimi huwa inakuwa accurate mara nyingi, juzi hapa nimeweka particulars zangu na nilikuwa ugenini, na ikanifikisha destination yangu.
 
1: Kama hajafanya update ya hy app bc google hawana kesi hapo.

2: kuweka taarifa fulani kwenye Google map sometimes inategemea na ukubwa wa hy project, Mfano umejenga nyumba yako ghafla tuu huwezi kuikuta kwenye ramani labla kama n project kubwa utaikuta Hata kabla haijamalizika.

3: Nadhani Google map wana muda wao fulani wa kufanya update ya maeneo.

NB: Kibongo-bongo hapati hata 100 ila kwa kuwa ni mbele, em tusubiri
 
Back
Top Bottom