Naomba kujua Google Map inajuaje njia?

DAVID PALMER

Senior Member
Jan 19, 2020
181
1,000
Leo nmetoka sehemu A to B. Njia za shotcut sizijui fresh so nkaandika kwenye google map.

Imenionesha njia kibao na ni za uchochoro mno.. najiuliza hii inawezekanaje??
IMG_9240.png
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,413
2,000
Dah mwanang yan mm nimeingia jiji flani ambalo sina uzoefu nalo na nimekua natumia Google map kwa mwezi sasa katika shughuli zangu na inanisaidia kufika kila ninapotaka kwenda bila kuulizauliza kwa watu, nkitaka kwenda bank ya karibu nafika, nkitaka kwenda ktuo Cha daladala nafika nkitaka kwenda ofisi flan nafika kwakweli inasaidia sana sijapotea hata sehemu moja japo jiji nililopo ndo Mara ya kwanza kufika
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,612
2,000
Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
Hawa watu wana advance tech af wanakusanya data pengine bila wahusika kujua
 
Kimfano juzi kati wamenitumia kwenye email maeneo na mikoa yote niliyokuwepo last month😄😄
 
MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,968
2,000
Hawa watu wana advance tech af wanakusanya data pengine bila wahusika kujua
Hilo liko wazi. Kwa kupitia simu yako, google wanatambua na kuhifadhi sehemu zote ulizowahi tembelea, ukiomba rekodi yako unaoneshwa vichochoro na miji yote ulikanyaga kwa muda au mwaka husika
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,534
2,000
Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
Kwa hiyo inakusanya data toka simu za Android duniani ? Na Iphone je?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,588
2,000
Leo nmetoka sehemu A to B. Njia za shotcut sizijui fresh so nkaandika kwenye google map.

Imenionesha njia kibao na ni za uchochoro mno.. najiuliza hii inawezekanaje?? View attachment 1809235
Kuna namna mbili ama 3 za kutengeneza hizi ramani.
1.njia ya kwanza ambayo hutumika na makampuni makubwa yaliyo serious Magari yao hupita na kukusanya data, Magari yanakuwa na 3d camera ambazo huscan kila kitu,

2.wanatumia satelite ambazo zipo angani KUSCAN hizo bara bara na vichochoro, sema satelite hazina accuracy 100% kunakuwa na utofauti wa mita kadhaa.

3. Watu kama mimi na wewe unaweza ku submit eneo, sema hii inatumika kwenye google map sana ramani ambazo zina accuracy kubwa kama here maps hawatumii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom