Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu naomba kujua soko la matunda aina ya machungwa kuhusu soko lenyewe mahali lilipo na bei zake kwa mfuko au jumla ni bei gani na rejareja au mojamoja ni bei gani.
Natumaini humu wapo madalali wa masoko ya Dodoma na wazoefu pia wamo naomba taarifa zenu wakuu.
Natanguliza shukurani.
Natumaini humu wapo madalali wa masoko ya Dodoma na wazoefu pia wamo naomba taarifa zenu wakuu.
Natanguliza shukurani.