Naomba kujua, andiko la lugha ya Kiswahili lenye umri mkubwa kabisa ni miaka mingapi?

Nakumbuka mashairi machache ya Fumo Lyongo
"Kilimo kama mtukufu, mpana na mrefu majimboni yu maarufu watu huja kumuangaliya.
Lyongo kitamkali akabaligi vijali akawa mtu wa kweli na haiba huongeya." Kama nimekosea naomba kurekebishwa maana ni umri wa mtu sasa tangu nisome mashairi hayo.
 
Kwa hiyo Kiswahili Cha karne ya 12 kinafana na Kiswahili hiki Cha 2020?
 
Back
Top Bottom