Naomba kujua, Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani?

AMERICA, UCHINA, ASIA , UINGEREZA HUKO

Japo wanahudumia karibu kila nchi duniani

Kuhusu kuwa na makao hapa Tanzania sijawahi kusikia
 
Back
Top Bottom