Hebu fikiria wewe ni fundi mchundo wa mitambo ya hospitalini kama CT na MRI hospitali ya mkoa
Hospitali ina hivi vifaa na vilitoka ujerumani, vikiharibika wewe hujui uanzie wapi kuvitengeneza.
hivi vifaa vikifa, wagonjwa hawatibiwi kwa sababu njia ya kugundua magonjwa yao ili kumwezesha daktari kutoa matibabu vimekufa.
Sasa angalia performance ya hospitali kwa ujumla ni itakuwa ina rufaa nyingi za wagonjwa wasiopata huduma ya hivi vifaa katika kugundua maradhi yao.
Au fikiria wewe fundi mchundo umepelekwa ujerumani kusomea stadi kuvitengeneza hivi vifaa, je performance ya hiyo hospitali kwa wagonjwa itakuwaje.
Je hayo mafunzo uliyopata yamesadiaje utendaji(performance ya hospitali)