Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Mkeo hayumo?
 
Tz hakuna UPINZANI wakweli mboe ni tapeli wakisiasa pamoja na chama chake alf watu km hawa ndio walitaka tuandamane tuache familia zetu
 
Basi mbowe ni mtu hatari hadi anamtoa mtu jela usiku na anakula kiapo duu
 
Ni maswali muhimu umeuliza. Mnaweza dhani watu wanapigania nchi kumbe wako kwenye orgy moja matata. Mwisho wa siku nyie mnaowaunga mkono mnapata aibu.
 
Acha nusrat apumzike na shuruba
 
Acha nusrat apumzike na shuruba
 
Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.
Kuna yule wanaelalamika alitolewa magereza usiku ni mke wa Mashinji na kuna mwingine yule dada wa Singida ni mzazi mwenza wa Mwenyekiti nafikiri kule alikokuwa ametoka mwenyekiti alipoanguka kwenye ngazi au kuvamiwa kama ilivyoripotiwa. Mwenyekiti anajua anachokifanya.
 
Tuwe wavimilivu, mbivu na mbichi zitajulikana tar 27. Haya ya Mrema sijui Mke wa nani au Salim Mme wa nani yatakuumiza kichwa Kama ndoa za kafulila vs kishoa au Joyce kiria vs Kileo

Tarehe 27 ipi?
 
Uzuri wà hilo jambo limeshaisha, ila ukitaka kujua mahusiano kwenye haya mavyama ni pasua kichwa tu. Bora wawe Me ns Me, wengine jinsia moja tu wanabanduana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…