Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Common sense na viti maalum CHADEMA?

Wabunge wao WA viti maalum
Walikuwa hivi..
Dada yake Zitto
Dada yake Lissu
Aliezaa na mbowe
Aliezaa na Mbowe
Mtoto wa Ndesamburo
Mtoto wa Anthony Komu
The list is long..

Hawa ndo WA kutumia common sense kuwajadili??
Kuna ubaya gani kama wamekidhi vigezo na hawakupendelewa? Nadhani waafrika tuna mentality za ajabu sana,mbona hata CCM kuna viongozi familia zao pia ziko kwenye siasa? Mbona hamsemi Kenya( Jomo Kenyatta na mwanae Uhuru Kenyatta) Marekani (George Bush na mwanae),Malawi (Familia ya Msalika) Zanzibar (Familia ya Karume) nk nk watu kama wana qualify hata wakiteuliwa 20 wa familia mmoja tatizo liko wapi?
 
Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.
Wanasiasa sio wakuwaamini kabisa
 
Halafu huyo Joyce ujuwe alikuwa ni mke wa Mtoto wa Ndesa pesa, alikuwa ni reception wa Keys hotel pale Moshi mtoto wa Ndesa akakolea akavuta mzigo.

Familia ilipinga sana ndoa hii lakini mtoto hakusikia wakamuacha amuoww Joyce, sasa mwana kulitafuta mwana kulipata ndoa imevunjika, Mwamba anajimegea tu.

Yani Mbowe sijui anakwama wapi?
Mwamba ametema mzigo siku nyingi sana,kuna broker wa tanzanite anaishi nae kitambo sana,yani ni mkewe
 
Mmhhhhh!!
 
Huko ccm ndio hatari kabisa labda huelewi lolote.

Wapo wanandoa kama Madabida na mkewe wote walikuwa bungeni, Samwel Sitta na mkewe wote bungeni, Anna Abdalah na Pius Msekwa, Anne Kilango na Baba uakw Le Mutuz, Anjela Kairuki na mtu fudenge, endless list.

Huko Uvccm ndio wanakulana balaa, hukuti bikra huko.
Huku mwenyekiti wao uvccm anavinasaba vya mchicha mwiba
 
Ebu kuwa basi na akili hata za kuvukia barabara basi

Hauna uchungu na chadema zaidi ya mdee

Mkiitwa mnyama mnaona mnaonewa
Kwani kulikuwa hakuna namna nyingine ya kuwakilisha zaidi ya kejeli?rekebisha hapo mwanzo wa sentensi yako ,kwenye kiswahili hatuna ebu tuna hebu, ujuaji mwingi kumbe hujui
 
Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.
Acheni uongo,hauwezi kuwasaidia chochote!
 
Uzi umeanzishwa vizuri sana,wachangiaji sasa wamekaa kimbea mbeaaa,sasa nani kamgegeda nani inakuhusu nini? Tena wengine wanaume kabisa! Mnazinguaaa
 
Mwamba ametema mzigo siku nyingi sana,kuna broker wa tanzanite anaishi nae kitambo sana,yani ni mkewe
Hafu hao watoto wa mukya wamefanana na mbowe Hadi pua, mbowe naye hajatulia Hadi yule zubeda alikuwa mchepuko akampa ubunge kufika kule mjengoni akamsaliti akazaa na Ridhiwani
 
Sema Salum ana faidi kweli mpemba yule.
Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema
  • Anatropia - J Mrema
  • Esther Matiko - Salum Mwalimu
  • Hawa Bananga - Ali Bananga
Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba
 
Hafu hao watoto wa mukya wamefanana na mbowe Hadi pua, mbowe naye hajatulia Hadi yule zubeda alikuwa mchepuko akampa ubunge kufika kule mjengoni akamsaliti akazaa na Ridhiwani
Duh niljiuliza Zubeda why hayupo Kwa list dah
 
Kuna ubaya gani kama wamekidhi vigezo na hawakupendelewa? Nadhani waafrika tuna mentality za ajabu sana,mbona hata CCM kuna viongozi familia zao pia ziko kwenye siasa? Mbona hamsemi Kenya( Jomo Kenyatta na mwanae Uhuru Kenyatta) Marekani (George Bush na mwanae),Malawi (Familia ya Msalika) Zanzibar (Familia ya Karume) nk nk watu kama wana qualify hata wakiteuliwa 20 wa familia mmoja tatizo liko wapi?
Nani kasema kuna ubaya??
Wewe ndo Una panic
 
Back
Top Bottom