Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Duh niljiuliza Zubeda why hayupo Kwa list dah
Zubeda tena uteuzi wake ulilalamikiwa mno kumbe alikuwa mchepuko kufika mjengoni kaolewa mke wa nne na kazaa na rizimoko mtoto wa kiume, nadhani ndio maana akaachana na CDM
 
The bottom line is, hii move imepangwa na Mbowe na Tundu Lisu hata angalia timing amemaliza (tundu) tu kusema kwamba hawautambui uchaguzi halafu Wabunge wa chadema wakaapishwa wakiongozwa na Halima Mdee, huyu Halima Mdee yuko karibu sana na Mbowe na Tundu Lisu, na hili la kumtuma Mnyika ni kuwachanganya wana chadema kwa kutengeneza chaos, kukiwa na chaos wana chadema wataanza kushambuliana na kuwatukana hawa akina mama lkn the real culprit anacheka anakula zake bata Ulaya na familia yake, mwisho wa siku mkwanja unaingia chadema wanaingiza kwenye akaunti yake Ulaya na ya Mbowe nyingine wanamlipa loya Muzungu Amsterdam ili aweze kupata baadhi ya matamko ambayo hata hivyo ni non binding ktk kwa Serikali za Muzungu hivyo wanaendelea kubakia relevant, ...
Kweli mkuu harafu wakamuamulisha supoka awalinde
 
Zubeda tena uteuzi wake ulilalamikiwa mno kumbe alikuwa mchepuko kufika mjengoni kaolewa mke wa nne na kazaa na rizimoko mtoto wa kiume, nadhani ndio maana akaachana na CDM
Aisee...
 
Kila mtu kumbe ana mtu wake nimesikia hata Nusirati anagegedwa na mashinj
Wakuu JF isiwe kitovu cha propaganda na kuchafuana.

Huyo Nusrat mbona ana misimamo sana ya kimaaidili (Bar Yesterday) kma angekua anajirahisi angeshakua Viti maalum au DC huko CCM.

Then matiko ana mme kabisa alikuaga UD hapo professor mmoja hvi.... huyo Mwalimu ni mchepuko tu I guess.

Tusipende kuweka rumours mbele bali facts.
 
Zubeda tena uteuzi wake ulilalamikiwa mno kumbe alikuwa mchepuko kufika mjengoni kaolewa mke wa nne na kazaa na rizimoko mtoto wa kiume, nadhani ndio maana akaachana na CDM
Hapana zubeilda unamuonea.... aliingia kwa merits pale. Alikua akimuandikia hotuba KUB na pia wabunge kadhaa wa CCM. Alifuatwa personally na Mbowe pale Mzumbe ajiunge na CHADEMA.

Mahusiano na Mnyika yalianza tayari akiwa figure kubwa pale CHADEMA na sio kwamba kuwa mpenzi wake ndio kulimfanya apewe ubunge.

Then ameacha ubunge ili akasome masters huko chuo cha Lissu......Warwick na sio eti kuzaa na mCCM

NB:Bado ni mwanachama hai wa CHADEMA na anashiriki actively.
 
Wakuu JF isiwe kitovu cha propaganda na kuchafuana.

Huyo Nusrat mbona ana misimamo sana ya kimaaidili (Bar Yesterday) kma angekua anajirahisi angeshakua Viti maalum au DC huko CCM.

Then matiko ana mme kabisa alikuaga UD hapo professor mmoja hvi.... huyo Mwalimu ni mchepuko tu I guess.

Tusipende kuweka rumours mbele bali facts.
Jamii Forum ya miaka hii imeshakuwa kiwanda cha kuchakata uongo , umbea na majungu.

Pipo hazi think anymore
 
The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.
Sidhani Kama uko sahihi ww,ushabiki mwingine ni wakijinga Sana,yaani mke wako atoke Sijui Dar mpaka Dodoma alale kesho yake aapishwe na pengine alale Tena then arudi kwako eti ww hujui alikuwa wp?tuweni serious Basi jamani kwenye mambo ya msingi,
 
The bottom line is, hii move imepangwa na Mbowe na Tundu Lisu hata angalia timing amemaliza (tundu) tu kusema kwamba hawautambui uchaguzi halafu Wabunge wa chadema wakaapishwa wakiongozwa na Halima Mdee, huyu Halima Mdee yuko karibu sana na Mbowe na Tundu Lisu, na hili la kumtuma Mnyika ni kuwachanganya wana chadema kwa kutengeneza chaos, kukiwa na chaos wana chadema wataanza kushambuliana na kuwatukana hawa akina mama lkn the real culprit anacheka anakula zake bata Ulaya na familia yake, mwisho wa siku mkwanja unaingia chadema wanaingiza kwenye akaunti yake Ulaya na ya Mbowe nyingine wanamlipa loya Muzungu Amsterdam ili aweze kupata baadhi ya matamko ambayo hata hivyo ni non binding ktk kwa Serikali za Muzungu hivyo wanaendelea kubakia relevant, ...
Ujinga katika ubora wake!
 
Hapana zubeilda unamuonea.... aliingia kwa merits pale. Alikua akimuandikia hotuba KUB na pia wabunge kadhaa wa CCM. Alifuatwa personally na Mbowe pale Mzumbe ajiunge na CHADEMA.

Mahusiano na Mnyika yalianza tayari akiwa figure kubwa pale CHADEMA na sio kwamba kuwa mpenzi wake ndio kulimfanya apewe ubunge.

Then ameacha ubunge ili akasome masters huko chuo cha Lissu......Warwick na sio eti kuzaa na mCCM

NB:Bado ni mwanachama hai wa CHADEMA na anashiriki actively.
Wewe hujui behind ya paZia unajua juu, huyo zuu, si anasoma PhD, tena ana mtoto wa kiume sasa hivi. Huko siasani umalaya ni Jambo la kawaida kuanzia ccm, Hadi CDM
 
Labda tamthilia nzima iko juu yako kidogo, hivyo ungefwatilia tu mpaka mwisho labda utakuja kuelewa, I mean ni kipi ambacho unashindwa kuona ? Labda nikuulize je, unaaamini kabisa kwamba Halima Mdee anaweza kuchukuwa uamuzi aliouchukuwa bila ya Mbowe na Tundu lisu kujua after all that they have been through ? Au unaamini kabisa Mke wa Makene msemaji wa chadema anaweza kuamua kwenda kuapishwa kuwa bila ya Mume wake kujua ? Come on, man you are better than that, ...
Mbele ya ccm kila kitu kinawezekana,Kwani mume ni nini mbele ya pesa?
 
Wewe hujui behind ya paZia unajua juu, huyo zuu, si anasoma PhD, tena ana mtoto wa kiume sasa hivi. Huko siasani umalaya ni Jambo la kawaida kuanzia ccm, Hadi CDM
Umalaya upo lakini unavyo potray hapa ni kana kwamba kina Matiko ama Zubailda wamepata ubunge sababu ya kuvua chupi.
Matiko alifuatwa chuo kikuu na kuombwa kuongeza nguvu same to Zubailda. Na alikua anagombewa na CCM maana ndio alikua anaandaa hotuba za vigogo.

Kwahiyo aliingia kwa merits CHADEMA so mahusiano yamemkutia humo sio kwamba chupi ndio ilimuingiza bungeni.

Then mahusiano alikua nayo na Mnyika sio Mbowe na walifika stage mpaka ya kutaka kufunga ndoa. So its not true alikua mtu wa Mbowe.
 
Labda tamthilia nzima iko juu yako kidogo, hivyo ungefwatilia tu mpaka mwisho labda utakuja kuelewa, I mean ni kipi ambacho unashindwa kuona ? Labda nikuulize je, unaaamini kabisa kwamba Halima Mdee anaweza kuchukuwa uamuzi aliouchukuwa bila ya Mbowe na Tundu lisu kujua after all that they have been through ? Au unaamini kabisa Mke wa Makene msemaji wa chadema anaweza kuamua kwenda kuapishwa kuwa bila ya Mume wake kujua ? Come on, man you are better than that, ...
Huu uzi umejaa rumours tu za kuchafuana. Mke wa makene ni nani pale? Si mlidai ni Suzan Masele aliyekimbilia NCCR ghafla tena ana mke kwenye hiyo list!!

JF imeshuka hadhi
 
Umalaya upo lakini unavyo potray hapa ni kana kwamba kina Matiko ama Zubailda wamepata ubunge sababu ya kuvua chupi.
Matiko alifuatwa chuo kikuu na kuombwa kuongeza nguvu same to Zubailda. Na alikua anagombewa na CCM maana ndio alikua anaandaa hotuba za vigogo.

Kwahiyo aliingia kwa merits CHADEMA so mahusiano yamemkutia humo sio kwamba chupi ndio ilimuingiza bungeni.

Then mahusiano alikua nayo na Mnyika sio Mbowe na walifika stage mpaka ya kutaka kufunga ndoa. So its not true alikua mtu wa Mbowe.
Mimi sijamtaja matiko hapo and I know she was lecturer at udsm, udbs case yangu huyo zuu Hadi ubunge wake ulianzishiwa Uzi humu JF. Mimi Sina wasiwasi na matiko kabisa.
 
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.

Very true
 
Back
Top Bottom