Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA

Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.

1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?

2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?

Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?

Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?

Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Mkeo hayumo?
 
Tz hakuna UPINZANI wakweli mboe ni tapeli wakisiasa pamoja na chama chake alf watu km hawa ndio walitaka tuandamane tuache familia zetu
 
Basi mbowe ni mtu hatari hadi anamtoa mtu jela usiku na anakula kiapo duu
The bottom line is, hii move imepangwa na Mbowe na Tundu Lisu hata angalia timing amemaliza (tundu) tu kusema kwamba hawautambui uchaguzi halafu Wabunge wa chadema wakaapishwa wakiongozwa na Halima Mdee, huyu Halima Mdee yuko karibu sana na Mbowe na Tundu Lisu, na hili la kumtuma Mnyika ni kuwachanganya wana chadema kwa kutengeneza chaos, kukiwa na chaos wana chadema wataanza kushambuliana na kuwatukana hawa akina mama lkn the real culprit anacheka anakula zake bata Ulaya na familia yake, mwisho wa siku mkwanja unaingia chadema wanaingiza kwenye akaunti yake Ulaya na ya Mbowe nyingine wanamlipa loya Muzungu Amsterdam ili aweze kupata baadhi ya matamko ambayo hata hivyo ni non binding ktk kwa Serikali za Muzungu hivyo wanaendelea kubakia relevant, ...
 
Ni maswali muhimu umeuliza. Mnaweza dhani watu wanapigania nchi kumbe wako kwenye orgy moja matata. Mwisho wa siku nyie mnaowaunga mkono mnapata aibu.
 
Wakuu JF isiwe kitovu cha propaganda na kuchafuana.

Huyo Nusrat mbona ana misimamo sana ya kimaaidili (Bar Yesterday) kma angekua anajirahisi angeshakua Viti maalum au DC huko CCM.

Then matiko ana mme kabisa alikuaga UD hapo professor mmoja hvi.... huyo Mwalimu ni mchepuko tu I guess.

Tusipende kuweka rumours mbele bali facts.
Acha nusrat apumzike na shuruba
 
Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.
Kuna yule wanaelalamika alitolewa magereza usiku ni mke wa Mashinji na kuna mwingine yule dada wa Singida ni mzazi mwenza wa Mwenyekiti nafikiri kule alikokuwa ametoka mwenyekiti alipoanguka kwenye ngazi au kuvamiwa kama ilivyoripotiwa. Mwenyekiti anajua anachokifanya.
 
Uzuri wà hilo jambo limeshaisha, ila ukitaka kujua mahusiano kwenye haya mavyama ni pasua kichwa tu. Bora wawe Me ns Me, wengine jinsia moja tu wanabanduana
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom