naomba kuingia ktk familia ya cc

naomba kuingia ktk familia ya cc

Karibu sana upate na juice na mapochopocho kibao ngoja nikakuletee cocktail ok. Ila ID utadhanj ni me
 
Hata muandiko wako wa kikekike , labda nikimalizia kuiona miondoko yako ndo ntakofam !
Bila shaka utakua unatupa mawe moja-moja !
 
Uwiii mpaka muondoko mnakagua

Inategemea na agenda za wakaguaji !
Wako vijana tumewapa majukumu ya ukaguzi .
Wakishakagua then wana return details kwa sisi wazee .
Afu wazee ndo tunafanya mambo yetu .
 
Inategemea na agenda za wakaguaji !
Wako vijana tumewapa majukumu ya ukaguzi .
Wakishakagua then wana return details kwa sisi wazee .
Afu wazee ndo tunafanya mambo yetu .

hivi we ulikuwaga wapi kunifanyia mambo yenu
 
Wazee hufanya mambo yetu , taratibu .
Yawezekana mrundikano wa ma'file mezani , file lako liko chini , hebu ngoja nipekurepekure meza .

I cant wait for my time........when my file will be on J's desk daaah
 
Back
Top Bottom