Naomba kufunguliwa macho!

Naomba kufunguliwa macho!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....
 
Mbaya zaidi ni pale unapoletewa kadi ya mchango eti wa harusi wakati mtu ameamua kumuoa mke wake, na wengine wanaandaliwa kitchen party wakati wameshakubuhu kwenye maisha ya kuishi mume na mke. Kwa upande wngu mimi naona sio sawa, huu ni wizi wa hiari.
 
Charminglady makatazo ya Mungu yapo mengi sana, na hilo ni moja wapo yaani usizini.
 
Mbaya zaidi ni pale unapoletewa kadi ya mchango eti wa harusi wakati mtu ameamua kumuoa mke wake, na wengine wanaandaliwa kitchen party wakati wameshakubuhu kwenye maisha ya kuishi mume na mke. Kwa upande wngu mimi naona sio sawa, huu ni wizi wa hiari.

kweli kabisa mkuu... unakuta ntu wameishi over five years afu anachangisha mchango wa kitchen party..... dah
 
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....

vizuri umeligundua hilo. je wewe hujamegwa? na kama ulishamegwa ndoa haipo tena katika mipango ya maisha yako?
 
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....
Watu hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia, si unajua maisha ya sasa hivi tunavyoishi mambo kibao, huku kwa mabinti kuchomoa mimba unakuta kizazi hakishiki tena , kwa mmeee mara nguvu ndogo chipsi mayai, swala la ndoa kutodumu sababu ni nyingi sna zikiwemo, tamaa, ubinafsi na hili la kujaribu jaribu sana sasa unajikuta umeingia kwenye ndoa na mtu amabaye vitu havi match hapo ndo unanzaa kukumbuka zamani na usaliti juu
 
umepajate hiyo 99%? Source Kiranga

afu baraka na laana? Sasa kwa nini makanisa yanakubali kufundisha
 
Last edited by a moderator:
unajua hiyo inatokana na internal conflict after committing sin maana si mpango wa Mungu watu wachukuane kwa style hiyo sasa wanachojaribu kufanya ni kuzima hayo mashtaka yanayosumbua nyoyo zao kwa kwenda kutakatisha ndoa zao.
 
haya bwana ndio fashion ya sasa....go with the flow bwana ila msifunge ndoa kaaeni hivyo hivyo

tuna mpango wa kwenda kuchukua cheti bomani ili kuhalalisha kisheria na sio kanisani make haina maana tena....
 
UTANUNUAJE MBUZI KWENYE GUNIA BANAAA!!!!!!!!! Aaaaah Wapi!!!!!! Mimi lazima NIKAGUE, NIGONGE NA TBS yangu! Mambo ya kuolewa ZINGA LA SHEREHE AFU UNAKUJA KUSTUKA JONGOOO HALIPANDI MTUNGI JIONIIIII SIYATAKI!!!!!!!!! Au unakuta JITU KRISTAPEN hadi LIMEVISHWA PETE!!!!! Utajiokoaje!!!!! Ndo till Death Do You Appart hiyo!!!!!!!!
 
tuna mpango wa kwenda kuchukua cheti bomani ili kuhalalisha kisheria na sio kanisani make haina maana tena....

ah bomani sii wanatoa cheti kile kile wangu. mbona unaconfuse wewe. ukichukua bomani bado ni ndoa tuu, sasa kulingana na uchunguzi wako most likely nyie hamtadumu muda mrefu. mie naona hata bomani msiende kaane tuu kama mlivyo.
 
umepajate hiyo 99%? Source Kiranga

afu baraka na laana? Sasa kwa nini makanisa yanakubali kufundisha

Muulize pia ndoa ni nini? Na cosmogony yake ni ipi? Na kwa nini anabagua ndoa za watu? Na yeye kinamuhusu nini kama watu wanaoana wakiwa na watoto au wajukuu? Na kwa nini atake ku impose world view yake kwa watu wengine? Wakija wengine kumwambia aingie kwenye ndoa ya jinsia moja atakubali? Kama atakubali mbona hiyo hajaiweka? Kama hatakubali kwa nini asikubali kuletewa ndoa asiyoitaka lakini yeye anataka kuwapelekea wenzake ndoa anayoitaka yeye? Kashawahi kusikia heri nusu shari kuliko shari kamili? Hao wanaopeana mimba na kujuana kimwili kabla ya ndoa wakisema wasioane kwa sababu hiyo atawaoa na kuolewa nao wote yeye?

A behemoth of a busybody with abhorrent absurdities, monstrous macabre moralities bearing bullying cacophonies of comedic calumny dusted with the disguise of a puritan police.
 
ah bomani sii wanatoa cheti kile kile wangu. mbona unaconfuse wewe. ukichukua bomani bado ni ndoa tuu, sasa kulingana na uchunguzi wako most likely nyie hamtadumu muda mrefu. mie naona hata bomani msiende kaane tuu kama mlivyo.

bomani ni tofauti na kanisani ile ni kuhalalisha duniani maana kwa mungu mshashindwa
 
kufunga ndoa na kufanya harusi ni vitu viwili tofauti...

mkiishi pamoja ni 'kufunga ndoa'
iliyobaki ni kufanya harusi

kama kuishi pamoja ndio kufunga ndoa kanisani/msikitini huwa wanaenda kufanya nini??
 
ah bomani sii wanatoa cheti kile kile wangu. mbona unaconfuse wewe. ukichukua bomani bado ni ndoa tuu, sasa kulingana na uchunguzi wako most likely nyie hamtadumu muda mrefu. mie naona hata bomani msiende kaane tuu kama mlivyo.

tutaenda kuhalalisha kisheria!!!!!
 
Back
Top Bottom