Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Muulize pia ndoa ni nini? Na cosmogony yake ni ipi? Na kwa nini anabagua ndoa za watu? Na yeye kinamuhusu nini kama watu wanaoana wakiwa na watoto au wajukuu? Na kwa nini atake ku impose world view yake kwa watu wengine? Wakija wengine kumwambia aingie kwenye ndoa ya jinsia moja atakubali? Kama atakubali mbona hiyo hajaiweka? Kama hatakubali kwa nini asikubali kuletewa ndoa asiyoitaka lakini yeye anataka kuwapelekea wenzake ndoa anayoitaka yeye? Kashawahi kusikia heri nusu shari kuliko shari kamili? Hao wanaopeana mimba na kujuana kimwili kabla ya ndoa wakisema wasioane kwa sababu hiyo atawaoa na kuolewa nao wote yeye?
A behemoth of a busybody with abhorrent absurdities, monstrous macabre moralities bearing bullying cacophonies of comedic calumny dusted with the disguise of a puritan police.
Imekugusa sana!