Ukisha "kwalifai" uripoti kwangu ili niku test... Usijeenda ukatuaibisha outta there!
utanifia ww,kama ujuavyo ukitoka unyagoni unakuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii viungo vinakuwa vinaenda vyenyewe tu,sitaki kufia jela sababu yako.
utanifia ww,kama ujuavyo ukitoka unyagoni unakuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii viungo vinakuwa vinaenda vyenyewe tu,sitaki kufia jela sababu yako.
Bishanga ni mshakunaku kama nini, hebu waalike kina cacico, Madame B, gfsonwin, Mrembo by Nature, Binti.com, BADILI TABIA, King'asti, lara 1, Kaunga, Elizabeth Dominic, Jeska, Raiza, Paloma waje hapa tukamsute huyu mwanaizaya asiyejua vibaya na ngoma ya MKODOBWEMM nina cha kusema acha nimwachie Mungu maana hata huyo mume wangu akiona hapa itakuwa balaa si anataka kuniachanisha na mume wangu Mentor sijui kwanini watu wananitafuta ubaya kiasi hichi ukifikiria mm ni mama paroko haya ACHA NIMSAMEHE BURE KWANI HAJUI ATENDALO BHANA, labda my cousin charminglady nisaidie hapo naona sasa inakuwa balaa jamani haya
Nimechanjiwa Nicas Mtei machale yaliniplei aisee lol!!
Kuna wingu lilikuwa kinapita kila nikikaribia kuwasha ile Cessna yangu, nikaiacha.
Nimechanjiwa Nicas Mtei machale yaliniplei aisee lol!!
Kuna wingu lilikuwa kinapita kila nikikaribia kuwasha ile Cessna yangu, nikaiacha.
Mpenzi Zinduna niko unyagoni kidogo,nafundwa ujue supp za maisha zimeniandama,nasafisha nyota kwanza Micng youuuuuuuuuuuuuuuu
Bi dada, kwani Mimba mpaka uisotee kwani mlikuwa mkichanganya zege, siku hizi ni kitu mara moja inakuwa ndani ya Box, labda kama mayai yamekwisha NEHI