Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

Subaru forester 2004

Sent using Jamii Forums mobile app
SUBARU FORRESTER.png
 
Joowzey shukrani sana kwa kutambua na kuthamini huduma zetu boss. Hakuna aliyepata huduma za Kimomwe Motors akajutia badala yake hua wanashangaa kwa nini gharama ni chini zaidi wakija kuagiza nasi tofauti na kwenda sehem nyingine moja kwa moja!!
Habari mkuu.
Naomba kupata mchanganuo wa bei na ushuru kwa mtu anayetaka kuagiza gari aina ya Toyota cami na Toyota Rush.
 
Habari mkuu.
Naomba kupata mchanganuo wa bei na ushuru kwa mtu anayetaka kuagiza gari aina ya Toyota cami na Toyota Rush.
Kwa sasa Toyota Cami inaanzia 12.5m badala ya bei punguzo ya mwaka jana mwishoni iliyokua 11.5m na Toyota Rush zinafika kwa 15.3m badala ya 14.5m iliyokua bei punguzo kwa mwaka jana. Kwa msaada zaidi piga 0746267740 au tembelea ofisi zetu za Dar es Salaam na Mbeya
 
Sorry nikusumbue tena. VIPI kuhusu Toyota Voltz
 
Impreza za 2006 zinaanzia 12.5m boss, ingawa mda mwingine hata kwa 12m unaweza kupata

Kaka mambo niaje.
Unasikia? Mfano nina bajeti ya 7 to 8 million TZS. Halafu nahitaji Toyota Allion/Premio/Allex. Yenye cc isiyozidi 1500.
Kilomita ziwe wastani, zisiwe chache sana, zisiwe nyingi sana.
Naweza kupata...?? Ama nifute wazo niendelee kusugua benchi?? Ama niongeze laki ngapi?

Halafu mbona Allex kiumbo ni ndogo kulinganisha na kina Premio/Allion lakin zote naonaga zinauzwa bei sawa.. Kwanini?
 
Salama kabisa boss. Hizo gari zote ulizotaja gharama zake zinaanzia 11m kwa kuagiza. Gari unazoweza kupata kwa walau 9m ni kama vile Sienta, Ractis, Fun Cargo, Porte, Nissan March, Vitz na Nissan Note.

Pia Toyota Paso na Daihatu Terious Kid utaweza kuzipata kwa 8m kila moja boss. karibu sana
 
Hii Kasumba kuwa mnarudisha nyuma oddo meter imekaeje kwa upande wenu? Mnamuhakikishiaje mteja kuwa nyie hamfanyi huo uhuni?
Hatufanyi huo uhuni kwa kua kwanza mara nyingi hatutumii mitandao ya kijamii kutangaza gari zilizo kwenye stock za wenzetu Japan. Unapopost mara kwa mara mtandaoni gari zinazouzwa kuna hali ya kutaka kuvutia wateja haswa wasio na muda wa kukaa meza moja na muagizaji kuchagua gari husika.

Hivyo kama muagizaji atakua si muaminifu anaweza kukudanganya kua gari hiyo ina millage chache na ikifika huenda akaipunguza kama inavyodaiwa na wadau kadhaa (Japo kwa upande wetu hatujui kama kuna hiyo technolojia ya kupunguza kilomita).

Jambo jingine linalotupa amani sana ni kua kila mteja tunahakikisha yeye au ndugu yake anafika ofisini tunachgaua nae gari na anaziona kwa uwazi hizo kilomita na kuziridhia mwenyewe. Kwa sababu ya ushirika na kampuni zaidi ya 15, mara nyingi wateja wetu tunajitahidi wapate gari husika yenye kilomita ndogo, hivyo hua tunawatafutia kwa kina mpaka wapate.

Mwisho kabisa mteja hua anakabidhiwa faili lote lenye documents zote ikiwemo karatasi za ukaguzi wa gari huko Japan zinazoonesha kua gari ilikaguliwa ikiwa na kilomita kadhaa.
 
Back
Top Bottom