Naomba kujuzwa Engine Oil na Gear Box Oil nzuri kwa gari ndogo aina ya Honda Fit

Gearbox.. Engine za Petrol zinatumiaga oil ya SAE 40.
Nyie ndo mnaua magari yenu engine oil ya gari yako hiyo kwa matumizi ya dar ni 5w30, 10w30 na gearbox oil huwa wameandika kwenye dipstic yake aina na number ya kutumia kuja zinazotumia dexron 11,111 iv, WS na cvt ila sasa ukiniambia kampuni nzuri za kutumia kuanzia oil hadi gearbox oil mm nitakutajia kuanzia juu hadi chini kwenye ubora
01- liquimoly
02 castrol oil
03-total oil
04- oryx oil
05- Gp oil
06- lake oil
Hizo ndo oil zangu bora kama muuzaji ninaeshauri uweke kwenye gari yako karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnaua magari yenu engine oil ya gari yako hiyo kwa matumizi ya dar ni 5w30, 10w30 na gearbox oil huwa wameandika kwenye dipstic yake aina na number ya kutumia kuja zinazotumia dexron 11,111 iv, WS na cvt ila sasa ukiniambia kampuni nzuri za kutumia kuanzia oil hadi gearbox oil mm nitakutajia kuanzia juu hadi chini kwenye ubora...
Wewe unapima ubora wa oil kwa ushabiki wa Simba na Yanga! Ubora wa oil unapimwa sana sana kwa kuangalia Viscosity.
 
Nina honda fit meaka wa tatu

Engine na Gea box oil natumia kampuni ya Castrol.

Gear box oil ipo kwenye kopo la lita moja rangi ya njano, zi aingia Lita nne au tatu na nusu.

Engine oil dumu jeupe la Castrol GTX lita tano, inaingia lita nne.

Oil filteŕ ni hii hapa kwenye picha.

Gari hainawahi kusumbua na inakimbia kama mshale hii gari.

Hongera kwa kumiliki gari nzuri kwa bei nafuu na isiyo kula mafuta....

Kama unahitaji ushauri, mafundi wazuri (sio wagonga nyundo) n.k karibu.
20191212_105114.jpg
Screenshot_20200405-123605_Gallery.jpg
20200418_171003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unapima ubora wa oil kwa ushabiki wa Simba na Yanga! Ubora wa oil unapimwa sana sana kwa kuangalia Viscosity.
Recommended SAE viscosity ya oil ya gari za Petrol hususani gari ndogo ni 5w 30, ukiikosa nenda kwa 10w 30...full synthetic.....Hapa inaweza ika Total, Castrol, Oryx na nyinginezo nyiiingi..

Hizo SAE 40 ni oil nzito sana kwa gari ndogo na ni Mono grade.

Hizo SAE 40 ndiyo zinafanya injini ya IST inalia kama TATA ya pistoni tatu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina honda fit meaka wa tatu

Engine na Gea box oil natumia kampuni ya Castrol....

Gear box oil ipo kwenye kopo la lita moja rangi ya njano, zi aingia Lita nne au tatu na nusu..
Jambo la kwanza Bima yako imeisha muda tangu 23/12/2019 Faini yake nitumie inbox

Jambo la pili, nakupongeza sana kwa kumiliki chombo..

Jambo la tatu, hiyo Engine oil unayotumia ni SAE 40 au 5w30..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mkuu, nakushukuru mno! Mimi ninamiliki ni hii hapa kwenye picha Honda Fit ya Mwaka 2002, Nyeusi. Ni kweli gari hizi zinakimbia sana, na kichanganya haraka sana.

SAMAHANI KWA KUKUSUMBUA unisaidie tena mana hii Honda Fit nina muda mfupi tu tangu niagize , toka Japani Kuja Bongo.

1. Oil ya Engine ya Castrol ukiweka unatembea Kilometa ngapi? 3,000KM au 5,000KM?
2. Oil ya Gear Box ya Castrol ukiweka unatembea 5,000KM au 10,000KM?
3. Umecheki Honda yako inakwenda Kilometer ngapi kwa Lita 1?
IMG_20200322_182051.jpeg
IMG_20200322_182119.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la kwanza Bima yako imeisha muda tangu 23/12/2019.....Faini yake nitumie inbox

Jambo la pili, nakupongeza sana kwa kumiliki chombo..

Jambo la tatu, hiyo Engine oil unayotumia ni SAE 40 au 5w30..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yake engine oil anayozungumzia ni ile 20w50 API SJ ambayo kiukweli sio engine oil recommended kwa gari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mkuu, nakushukuru mno! Mimi ninamiliki ni hii hapa kwenye picha Honda Fit ya Mwaka 2002, Nyeusi. Ni kweli gari hizi zinakimbia sana, na kichanganya haraka sana.
SAMAHANI KWA KUKUSUMBUA unisaidie tena mana hii Honda Fit nina muda mfupi tu tangu niagize , toka Japani Kuja Bongo.
1. Oil ya Engine ya Castrol ukiweka unatembea Kilometa ngapi? 3,000KM au 5,000KM?
2. Oil ya Gear Box ya Castrol ukiweka unatembea 5,000KM au 10,000KM?
3. Umecheki Honda yako inakwenda Kilometer ngapi kwa Lita 1?View attachment 1422660View attachment 1422673

Sent using Jamii Forums mobile app
Somo la oil na aina mbalimbali za vilainishi ni pana sana lakini itoshe tu kusema oil inabadilishwa kulingana na matumizi ya gari. Unashauriwa kutumia oil ambayo ni synthetic na kama unaitumia mara kwa mara hakikisha unabadili kati ya km5000- 7500 ila kama umeweka oil ambayo ni mineral unatakiwa uibadilishe baada ya km 2000-2500.

Na kuhusu gearbox oil kama umeweka ambayo ni recommended na ambayo imekidh vigezo vya watengenezaji unashauriwa kubadili kila baada ya km 20000-25k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo la oil na aina mbalimbali za vilainishi ni pana sana lakini itoshe tu kusema oil inabadilishwa kulingana na matumizi ya gari
Unashauriwa kutumia oil ambayo ni synthetic na kama unaitumia mara kwa mara hakikisha unabadili kati ya km5000- 7500 ila kama umeweka oil ambayo ni mineral unatakiwa uibadilishe baada ya km 2000-2500. Na kuhusu gearbox oil kama umeweka ambayo ni recommended na ambayo imekidh vigezo vya watengenezaji unashauriwa kubadili kila baada ya km 20000-25k

Sent using Jamii Forums mobile app
Honda fit inatumia Gear Box oil ATF DW1 na inabadilishwa 30,000-50,000Km
Engine Oil recommended ni 0w20 ukikosa tumia 5w30 full synthetic. 5000km-9000km

Kuhusu Km/ĺ.. mi naishi DSM 34km kutoka Mnazi Mmoja. Naweka mafuta ya 10000 naenda mjini na kurudi. Kama naenda nje ya Dar huwa napata mpaka 22-27km/l. Gari yangu ni honda fit 2003 engine ya1.5

QuoteReply

ReportEditDelete
 
Msaada wa Oil zinazo faa kwa gari aina ya Honda Fit, ni zipi mm tusaidie wataalamu, Oil ya Engine na Gear Box

Sent using Jamii Forums mobile app
Honda fit inatumia Gear Box oil ATF DW1 na inabadilishwa 30,000-50,000Km
Engine Oil recommended ni 0w20 ukikosa tumia 5w30 full synthetic. 5000km-9000km

Kuhusu Km/ĺ.. mi naishi DSM 34km kutoka Mnazi Mmoja. Naweka mafuta ya 10000 naenda mjini na kurudi. Kama naenda nje ya Dar huwa napata mpaka 22-27km/l. Gari yangu ni honda fit 2003 engine ya1.5
 
Nyie ndo mnaua magari yenu engine oil ya gari yako hiyo kwa matumizi ya dar ni 5w30, 10w30 na gearbox oil huwa wameandika kwenye dipstic yake aina na number ya kutumia kuja zinazotumia dexron 11,111 iv, WS na cvt ila sasa ukiniambia kampuni nzuri za kutumia kuanzia oil hadi gearbox oil mm nitakutajia kuanzia juu hadi chini kwenye ubora
01- liquimoly
02 castrol oil...
Mkuu hivi engine oil ya mobil hapa bongo hamna?
 
Back
Top Bottom