Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,938
Hakuna sana sana unaweza kupata gesi tumboni.... Kunywa si zaidi ya lita moja kwa ushauri wangu.... Unaendeleaje lakini na vibebiiHabari za jumapili daktari.
naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app