Naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku

Hakuna sana sana unaweza kupata gesi tumboni.... Kunywa si zaidi ya lita moja kwa ushauri wangu.... Unaendeleaje lakini na vibebii
[/OUTE/]
ahh hatujambo vibebii vinapendeza tu.. Mungu ametukaza kwa neema zake katubariki kupita maneno.
 
Kumepambazuka sasa... Hata Usiku uwe mrefu vp kutapambazuka tuu.... Jina la Bwana wetu Kristo aliye hai lihimidiwe na kutukuzwa milele
 
Lita na nusu?.kila siku mhh..mbona kama mengi sana kw mtu mmoja?..


Nashauri punguza kiasi..nusu lita kwa siku ukiwa unatumia kila siku nadhani si mbaya
Lishe nzuri ni kuchanganya na kubadili vyakula kwa kiwango flani ,si kingi si kidogo

Mix na vinywaji vingine mf uji,juice,mtori na maji
 
Ukisoma kuhusu cancer wanasema maziwa mtindi ndio chakula kikuu cha cancer ,hivyo unashauriwa upunguze kunywa mtindi ili upunguze chance ya kupata cancer

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... Basi nishakufa tayari.
IMG_20210110_191433_8.jpg
 
ni vyema kama ungesema ni nyama ipi mkuu?
Tatizo ni mafuta yanayotumika kuandaa au kupikia hiyo nyama ila sema lawama huwa anabebeshwa nyama,utasikia nyama nyekundu mbaya ila uhalisia haupo hivyo.
 
Utaongeza kiwango cha acid mwili (milk : ph value 5.6 ), cholesterol level itaongezeka, na kikumbwa uzalishwaji wa mucus utaongezeka.
Jiandae na maponjwa ua upumuaji, moyo, tumbo nk
 
Kama ni fresh unaweza kuhalisha. Si wote wanaweza kudigest hayo maziwa.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom