Naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku


life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
4,241
Points
2,000
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
4,241 2,000
Habari za jumapili daktari.
naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
FYI.. tumia maziwa yaliyo chemshwa (hot milk) NI Bora!!
Madhara:- miili yetu hutofautiana!! Wengi hupata Gesi (tumbo hufura) na baadhi tujenga Mifupa na meno imara!! Enjoy your life..
 
wined

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
1,849
Points
2,000
wined

wined

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2015
1,849 2,000
hakuna madhara
ila kumbuka mafuta kwenye mishipa ya dam=shinikizo la juu la damu =kisukar=magonjwa ya moyo=ugumba=mwsho kifo cha mapema.

kama unakunywa hicho kiwango anza mazoezi usiwe obese

 
T

The dony

Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
10
Points
75
Age
32
T

The dony

Member
Joined Nov 7, 2016
10 75
Ukisoma kuhusu cancer wanasema maziwa mtindi ndio chakula kikuu cha cancer ,hivyo unashauriwa upunguze kunywa mtindi ili upunguze chance ya kupata cancer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mikocheni junction

mikocheni junction

Senior Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
195
Points
250
mikocheni junction

mikocheni junction

Senior Member
Joined Mar 20, 2019
195 250
Bora kutumia maziwa kuliko nyama side effects za maziwa ni ndogo kuliko za nyama
hakuna madhara
ila kumbuka mafuta kwenye mishipa ya dam=shinikizo la juu la damu =kisukar=magonjwa ya moyo=ugumba=mwsho kifo cha mapema.

kama unakunywa hicho kiwango anza mazoezi usiwe obese

God first
 
Penologist

Penologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
301
Points
500
Penologist

Penologist

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
301 500
Acha sifa ndio maana tunakosa maziwa ya kupikia loshoro.
 

Forum statistics

Threads 1,285,256
Members 494,502
Posts 30,855,589
Top