Je? Kuna madhara yoyote kiafya kwa matumizi ya Mwarobaine?

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu. Kuna kipind nilikuwa nahisi dalili kama maumivu chini ya kotovu na homa kali nilivyopima nikabainika nina U.T.I nikaanzishiwa Dozi, baada ya mda nikawa sawa kabisa, Ila baada ya mda kidogo dalili zilezile zikaanza kujirudia,

Hapo kuna jamaa angu alinishauri nianze kutumia mwarobaine, kuuchemsha na kunywa kila siku, glas 2 na baada ya hilo zoezi nimerud kuwa sawa ila nimejikuta nimejijengea mazoea ya kunywa mwarobaine mara kwa mara,

Hapa nilitaka kujua je kuna madhara yoyote kiafya kwa matumizi ya Mwarobaine mara kwa mara katika mwili?
 
Wanadai ule uchungu wake unaweza kusababisha figo kufeli...maana dawa kama dawa lazima iwe na kiwango cha kuingia mwili tofauti na miti shamba mtu unakuta unajioverdose
 
Back
Top Bottom