- Thread starter
- #21
nimejifungua siku za karibuni mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanin unataka kuanza kunywa kwa hii kasi ya 4g?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanin unataka kuanza kunywa kwa hii kasi ya 4g?
aliekwambia ukijifungua utupie maziwa mengi hivyo nan na kwa sababu ip
aliekwambia ukijifungua utupie maziwa mengi hivyo nan na kwa sababu ip
I think ndio anapenda hovyo kuna wengine wakijifungua wanapenda rost tualiekwambia ukijifungua utupie maziwa mengi hivyo nan na kwa sababu ip
yes kashasema nimemuulizaI think ndio anapenda hovyo kuna wengine wakijifungua wanapenda rost tu
God first
ok kunywa as possible maana hatakuwa endelevuhayupo ila njaa inauma muda wote... naona ni bora ninywe maziwa kwa wingi ili nipunguze mitori ya nyama mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh!sawa asante
ok kunywa as possible maana hatakuwa endelevu
usisahau mlo kamili
Angalia utazidi kuwa kibongee
Mti wenye matunda.
Sorry maziwa yanadhoofisha mifupa!!Maziwa yana calcium na ukinywa mengi kila siku kuna hatari yakudhoofisha mifupa, kupata kidney stones, kuingilia ufanyaji kazi wa moyo na ubongo,
Calcium ikizidi yesSorry maziwa yanadhoofisha mifupa!!
God first
Lakini wataalamu wanashauri it is good taking a glass of milk day and nightCalcium ikizidi yes
Not one and half litresLakini wataalamu wanashauri it is good taking a glass of milk day and night
God first
Not one and half litres
hahahaha sawa mkuuKunywa maziwa lita na nusu ni kuimarisha afya! Swali linakuja ukiishakuipata hiyo afya utaifanyia nini?. Maana kuwa na afya nzuri ni pamoja na kujaza yale madude kwa wingi mwilini, ila kama una sehemu ya kuyapeleka hakuna shida. Maana ukikaa na yale madude bila mbunye yanatesa sana. Munisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
ni vyema kama ungesema ni nyama ipi mkuu?Bora kutumia maziwa kuliko nyama side effects za maziwa ni ndogo kuliko za nyama
God first