Naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku

Maziwa yana calcium na ukinywa mengi kila siku kuna hatari yakudhoofisha mifupa, kupata kidney stones, kuingilia ufanyaji kazi wa moyo na ubongo,
 
Kunywa maziwa lita na nusu ni kuimarisha afya! Swali linakuja ukiishakuipata hiyo afya utaifanyia nini?. Maana kuwa na afya nzuri ni pamoja na kujaza yale madude kwa wingi mwilini, ila kama una sehemu ya kuyapeleka hakuna shida. Maana ukikaa na yale madude bila mbunye yanatesa sana. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom