Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,924
- 3,951
Kwema wakuu? Bila kupoteza muda, nina mshikaji wangu wa toka utoto kabisa kabla hatujaanza hata shule ya msingi ambaye tunapiga kazi pamoja tunashirikiana ila kila mtu anaishi kivyake.
Huyu rafik yangu alianza kuvuta bangi tukiwa form three kwa kujificha ila kwangu hajawai kujificha toka enzi hizo tupo watoto wa secondari.
Lengo la huu uzi nataka kufahamu madhara ya bangi maana huyu ndugu yangu kwasasa amezidi kupita kiasi kuvuta bangi yaan kama tukiwa free tu jamaa anavuta muda wote bangi kama vile anakunywa maji!!
Kwasasa amekuwa mtu wa kupuliza sana kupita kiasi tofaut na zaman sasa nataka kufahamu kama kuna madhara anayoweza kupata.
NB, sijawahi kumshauri kuacha kuvuta kwasababu hiyo ni starehe yake na mimi hajawai kunishauri kuacha starehe zangu nazozifanya. Huyu msela wangu tumetoka mbali yaan siwezi kumtupa kabisa.
Naomba kufahamu kama kuna madhara ili nijaribu kumkumbusha kidogo kwasabau kwasasa anavuta kupitiliza. Ila kuhusu mambo ya kazi yupo vizuri sana.