Naomba kufahamu kuhusu hii project ya HAAARP

Mateteko yameanza Barani Asia na Marekani zaidi ya miaka 1000 iliyopita.
Sababu ni rahisi sana ule ukanda unakitu kinaitwa "The Ring of fire" ambapo sahani (Tectonic Plates) ya Pasikifi na Amerika kaskazini zinasigana sana. Upande mwingine wanasayansi wanasema sahani ya India na Ulaya-Asia (Eurasian) nazo zimepandana sana na zinasigana hivyo matetemeko ni mengi tu. Ndiyo maana kinachotokea Japan huwa kinatokea na baadhi ya sehemu za Marekani na visiwa vya Karibeani.

HAARP tumesikia habari zake nyingi sana,
Iliyonistua ni ile kudai kwamba jaribio lao moja lilienda vibaya na kusababisha yale madhara ya nchini Haiti.
Najua kila kitu kinawezekana chini ya jua maana kama watu wanatengeneza mvua za mabomu basi hata kucheza na hali ya hewa kwa dunia hii inawezekana pia. Japo, sidhani kama yale matetemeko ya Uchina, Japan na India chanzo ni Mataifa makubwa kama wanavyodai. Maana kama wangekuwa na uwezo wa kusababisha zile Tsunami na Katrina basi watu kama sisi huku Afrika tungekuwa tushafutiliwa mbali muda mrefu sana na wakaja kujichotea mali zao.
Sehemu ya afrika inayoweza kukumbwa na tsunami ni mini kama Sudan na somalia pia Capetown
Sio mini migumu kama hii huku isiyo tepe wala. Ukanda unaoweza athuriwa na bahar
 
Alafu hii issue sijui shida ni nini ukiweka nyuzi mpaka waipost inapita masiku hadi unasahau.... Kuna uzi nlikua nmeandaa kuhusu asili ya mtu mweusi duniani ....ulichukua kama wiki uko pending tu afu mwishoni wakaufuta dah iliniuma sana

Mods mnavunja moyo watu kuanzisha nyuzi jukwaa la intelligence.... Mbadilike
Mkuu naomba unitumie huo uzi kupitia email address kama Inawezekana.
 
Unabadir tu ID
====×====×==
So Hii Project nayo ni conspiracy kama Kutoboka ozone layer?
Nimesettle na hii mkuu from now on!.. Lakini Ozone layer kutoboka ni matokeo ya shughuli mbalimbali hiyo project yenyewe ni kumanipulate matter zikaact as planned sio kudestroy!.. So ikifanikiwa in good hands naona ina faida lakini ikitumika kwa mambo mabaya tutateseka!..
 
Mkuu Da vinci nipo na heshima sana kwako. Kwa mijibu wa simulizi ni kwamba HAAAARP ni mpango wa kupunguza watu duniani kwa kuwatengenezea majanga kama ulivyoeleza hapo juu. Lakini hii i conspiracy theoary tu. Hii kitu aliwahi kuieleza Jamaa m1 juve2012 kwenye ule uzi ulioshika wa C.T.U ukienda kwa tittle ya wajue Rockefeller family

Wengine wanaenda mbali kwa kusema eti dunia inatakiwa ibaki na watu milioni 500 toka hawa wa sasa zaidi ya bilioni 6. Ukifikiria sana utaona hivi vitu haviwezekani.

Kuhusu kuandika Illuminat kinyume eti itakufikisha kwenye state house huo ni uongo. Hiyo website inamilikiwa na jamaa m1 hivi nikipata muda nitakuwekea hapa.
 
asante kwa huu uchambuzi mkuu
 
HAAARP, daah kunamengi zaidi ya haya wakuu, kuna project nyingi Sana zinaendelea chini chini, nyingine ukizisikia unaweza kuishi bila amani mda otee.
 
Back
Top Bottom