Naomba kufahamishwa Vyuo bora kwa kozi za Engineering Tanzania

Maswala ya practicals mnawazidi ATC kwa upande wa mechanical mkuu??
Unawezaje kucompare chuo chenye uwezo wa kutoa mpk masters ya mechanical engineering and industrial services na chuo chenye uwezo wa kutoa mwisho diploma ya mechanical engineering? Two different leagues
 
Unawezaje kucompare chuo chenye uwezo wa kutoa mpk masters ya mechanical engineering and industrial services na chuo chenye uwezo wa kutoa mwisho diploma ya mechanical engineering? Two different leagues
sawa, lkn kuna mwana jukwaa mmoja kasema mnaweza mkawa vema kwenye theories na sio practicals, lina ukweli hili??
 
Habari za saizi wana jukwaa popote pale ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania na hata nje.

Kulingana na matokeo ya kidato cha sita, wengi wa wadogo zetu wanatamani kujua vyuo bora vinavotoa kozi za engineering ili waendeleze carier zao.

Ukiaachana na majina ya vyuo, natamani kujua vyuo vinavotoa kweli wahandisi hapa nchini.

Karibuni...
United African University of Tanzania (UAUT)- Bachelor of science in computer engineering and Information Technology
 
Apo si chini ya mil 600 si ndiyo?
1627921143655.png
 
Aisee kibongo bongo vyuo vyote vinafanana,miundo mbinu bado mibovu hasa katika "practical". Zamani tulikuwa tukiaminishwa ya kuwa DIT kwa Practical wako vizuri,ila ukweli ni kinyume chake.

Wewe kama unapenda kuwa Mhandisi basi fanya juhudi ya kujifunza nje ya darasani na tena ukiwa unaenda field ndiyo usizembee kabisa. Uhandisi huwezi kuupata chuoni,bali kazini,na ukizembea kazini utakuwa Muhandisi jina tu. Mfumo wetu wa elimu bado sana.

Tulio wengi ujuzi tumeupata field na kwenye kazi hasa miradi na kusoma nje ya darasani.
I second you.
 
Back
Top Bottom