Chwekamu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2017
- 507
- 496
Wewe in Benjamin Mitti au Mzee Mjokava?O LEV Ada milioni 4
Advance Ada milioni 5.5 kwa PCB na PCM ,HKL ,HGL,ECA,EGM ,HGE,ada ni chini ya hapo kwenye milioni 5 lakini haizidi 5.3.
Shule ni ya kutwa na bweni, wanaume wanakaa hapo hapo shuleni, wanawake mabweni yao yapo nje ya shule hivyo huwa waanachukuliwa na kurudishwa na magari ya shule.
Kusoma mwisho saa 4 usiku hakuna mambo ya kukesha kesha.
Ni shule ya kisasa na walimu waliobobea
Imekamilika kila kitu .
Ukiwa na swali zaidi niulize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app