Species gani!!??Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
Naomba kujua waliletwa kwa minajili gani ? au kwa lengo gani please ?Species gani!!??
usije kuleta ndege kama kunguru weusi hawa wa Dar hawa waliingizwa kutoka uarabuni sshv ni kero tupu
Kusafisha mjiNaomba kujua waliletwa kwa minajili gani ? au kwa lengo gani please ?
Wanaitwa EmuAina gani ya Ndege unataka kuingiza?
Hii awamu bhana, nothing is predictable. Wao popote penye harufu ya ulaji wanatolea macho. Unaweza shangaa ukija nao hao ndege au mayai yake, ukalipishwa fine ndefu kwa kosa la kuhatarisha usalama wa nchi.Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Ni ndege ya kufugwa nyumbani wanaitwa Emu.(domesticated birds)
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
Ndo mana nataka kujua mapemaaa nifuate taratibu zoteHii awamu bhana, nothing is predictable. Wao popote penye harufu ya ulaji wanatolea macho. Unaweza shangaa ukija nao hao ndege au mayai yake, ukalipishwa fine ndefu kwa kosa la kuhatarisha usalama wa nchi.
Mkuu ni huyu ndege mwenyewe?Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Ni ndege ya kufugwa nyumbani wanaitwa Emu.(domesticated birds)
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
Wanafanye hao kunguru weusiSpecies gani!!??
usije kuleta ndege kama kunguru weusi hawa wa Dar hawa waliingizwa kutoka uarabuni sshv ni kero tupu
Ndio huyu ndege mwenyeweMkuu ni huyu ndege mwenyewe? View attachment 1695935
Hawa hawana ukorofi ni wapole ,mbuni ni mkali zaidi watu wengi naona wanawafuga na wapo friendly sana ,ingawaje pia wapo wakorofi.. mie nawapenda wananivutia nikiwaangaliaWakorofi hao wagomvi zaid ya mbun
Watu wa wanyama pori nimewatafuta ila wanasema subiria tunafuatilia ila Kuna mwingine amesema wao hawahusikiWaone watu wa wanyamapori ukiweza ficha mayai yake kwenye begi niletee na mimi mawili ya kula
Yai lake linafanana hivi,unakula mlo kamiliWaone watu wa wanyamapori ukiweza ficha mayai yake kwenye begi niletee na mimi mawili ya kula
BoengAina gani ya Ndege unataka kuingiza?
Hawa ndege ni vichaa aise,ukiwafuga basi hakikisha watoto una wapa tahadhali ,maana huyu ndege akianza bifu haachi mpaka ahakikishe hasimu wake amezima kabisaaa.Wakorofi hao wagomvi zaid ya mbun