Naomba kueleweshwa taratibu za kujiunga na huduma ya NMB Salary advance

The Conscious

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
459
700
Wakuu habari

Msaada tutani tafadhal naomba kueleweshwa taratibu za kujiunga na huduma ya NMB Salary advance kwa wale ambao wanaitumia walipitia hatua zipi kujiunga?

Nimejarib kuomb salary advance lakini huwa inafeli nilienda NMB branch ili niunganishwe pia nao ni chenga tu hawajanisaidia chochote.

Natanguliza shukran wakuu.
 
1. Una NMB Mobile?

2. Unatumia App au USSD code (*150*66#)?
Natumia USSD code nmb mobile nayo nmejiunga sas ishu inakuja pale kwenye kuomba mkopo maelezo yanakuja kwamba kuna taarifa za muajir zinahitajika ndy sizielew hizo na hatua za kuendlea baada ya hapo
 
Back
Top Bottom