Naomba kufahamishwa taratibu za vibali vya Kuingiza ndege(bird) au mayai ya ndege

omarhad

Member
Dec 25, 2019
93
78
Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Ni ndege ya kufugwa nyumbani wanaitwa Emu.(domesticated birds)
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
 
Species gani!!??
usije kuleta ndege kama kunguru weusi hawa wa Dar hawa waliingizwa kutoka uarabuni sshv ni kero tupu
 
Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Ni ndege ya kufugwa nyumbani wanaitwa Emu.(domesticated birds)
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
Hii awamu bhana, nothing is predictable. Wao popote penye harufu ya ulaji wanatolea macho. Unaweza shangaa ukija nao hao ndege au mayai yake, ukalipishwa fine ndefu kwa kosa la kuhatarisha usalama wa nchi.
 
Ndo mana nataka kujua mapemaaa nifuate taratibu zote
 
Naomba msaada wa kujua taratibu za Kuingiza nchini ndege(bird) au mayai ya ndege(eggs). Nione lipi nitakuwa nafuu kwangu.
Ni ndege ya kufugwa nyumbani wanaitwa Emu.(domesticated birds)
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Mbarikiwe sana
Mkuu ni huyu ndege mwenyewe?
images.jpg
 
Back
Top Bottom