Naomba kufahamishwa namna ya kutambua pasi original na Fake

Mi nilikuwa sijui og na fake, mi vitu vingi nanunuaga nikiwa bar.

Kuna siku rafiki yangu alikuja geto akanambia kitu nilichonacho ambacho ni original ni king'amuzi cha azam tu, tulicheka sana. Lakini huwaga vinadumu!
 
Kwa hiyo pasi za Phillips made in china ni fake???

Iko china og pia…angalia unapowasha inapata moto baada ya muda gani? Je kiasi cha motonkinaendana na thermostat selection ie kama umechagua moto mkali iwe ni mkali sio unaweka knob kwenye maximum yenyewe inatoa uvuguvugu!
 
Og kuanzia bei 35 mpaka 50 na maduka yao yapo pale opposite na mnara wa saa kama unaelekea station
 
Og kuanzia bei 35 mpaka 50 na maduka yao yapo pale opposite na mnara wa saa kama unaelekea station
 
Wakuu vitu vingi vya umeme vina copy yake.
Namna ya kwanza unawza jua copy na ig ni kuangalia waya wa pasi. Waya ukiwa laini sana ni copy pia kuangalia log sasa kwenye logo lazma uwe unafahamu logo halisi ina nn na nn na rang yake imejolea kiasi gan.
Pia pasi og ina kingo za kunyanyoka chin ila copy iko flat kabisa haina kingo za kunyanyuka.

Kiufup lazma ume ushaona og ndo unaweza tofautisha kirahisi
 
Back
Top Bottom