Naomba kuelimishwa kuhusu upimaji Ukimwi

Naomba kuelimishwa kuhusu upimaji Ukimwi

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Mchumba wangu kaenda kupima ili aniridhishe kwamba yupo vizuri. Amekuja na kadi inayoonesha tarehe ya kurudia ni baada ya miezi 3. Je hivi mtu akienda kupima akikutwa hana anapewa nini na je akiwa nao nayo anapewa nini? Naomba wenye uzoefu na hili mnijuze please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipima ukikutwa positive una unganishwa na department ya CTC kuanza kuchukua dawa

Ulikuwa negative ndipo unashauriwa kurudi baada ya mwezi for another checkup

Ungetuwekea picha ya hiyo card tungekusaidia kung'amua... lakini kwanini kuishi kwa wasiwasi wakati unaweza kwenda kujua status yako???

Bagwell
 
Jibu mujarabu ....

proxy,
Acha uzembe mkuu, nenda nae ukashuhudie vipimo. Otherwise utadanganywa
 
Kama ana kadi pole sana kama usharekebisha hapo
Mchumba wangu kaenda kupima ili anilizishe kwamba yupo vizuri ,amekuja na kadi inayoonesha tarehe ya kurudia ni baada ya miezi 3 ,je hivi mtu akienda kupima akikutwa hana anapewa nini na je akiwanao nayo anapewa nini ,naomba wenye uzoefu na hili mnijuze please.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa nenda nae mkapime wote ukiamini vipimo vya kuambiwa utapukutika. .hii dunia sio ya kuamini mtu kwa sasa
 
Back
Top Bottom