Asante allah(s.w) kwa kuniwezesha kupata mkopo. ALHAMDU LILLAHI
Asante sanaHongera mkuu
Mkuu me naenda KIUChuo gani unaenda Mkuu
Allah pia akakutangulie katika masomo yako InshallahAsante allah(s.w) kwa kuniwezesha kupata mkopo. ALHAMDU LILLAHI
AmiinAllah pia akakutangulie katika masomo yako Inshallah
Tunakushukuru uzi wako umetuunganisha.Pole sana kwa ambao mmekosa mkopo mpaka sasa muwe wavumilivu kuna batch nyngne bado na pia ukikosa kabisa kuna appealing unaweza kupata hapo, mm mtoa mada naleta mrejesho kuwa nashukuru mkopo nimepata.
Uzi murua Sana huu Tunashukuru kwa kuuanzisha hongereni kwa mliopata mikopo pia mliokosa kuweni na subira batch zitaendelea kutoka tu INSHAALAH pia tukumbuke kuna kukata rufaa hivyo msikate tamaa mapema Sana Tanzania Ni yetu sote Allah awe pamoja nanyi INSHAALAHPole sana kwa ambao mmekosa mkopo mpaka sasa muwe wavumilivu kuna batch nyngne bado na pia ukikosa kabisa kuna appealing unaweza kupata hapo, mm mtoa mada naleta mrejesho kuwa nashukuru mkopo nimepata.
Kama wapo ni wachache saaaaaaanAJamaan kuna mtu wa third selection amepata mkopo kweli?
Maana dogo amaepata chuo third selection, na mkopo bado.
Je, batch 3 ipo?
Yani hapa?
So probably wa third selection watakuwepo batch 3 et mkuuKama wapo ni wachache saaaaaaanA
Cc wenzio first selection na had sa hv hola!!So probably wa third selection watakuwepo batch 3 et mkuu
Sijui mkuu wala nisikupe moyo kwenye hamna...Maana kama batch 2 tu watu hawajafika hata 6000 sijui hyo 3 itakuwaje..So probably wa third selection watakuwepo batch 3 et mkuu
mkuu Mimi nilipata batch3 M.D. na nilisoma shule ya kata o level chuo cha serikali diploma na nikaambatanisha cheti cha marehemu mzee wangu kilichothibitishwa na rita lakini hola may be batch ya pili tutaonwa kakaSijui mkuu wala nisikupe moyo kwenye hamna...Maana kama batch 2 tu watu hawajafika hata 6000 sijui hyo 3 itakuwaje..
Binafsi nilipat chuo Round 3 hadi sasa sioni mwanga wowote mbele yangu
Mr, uko nchi gani tena..!! Batch three ishatoka toka last week, Am not sure as kuna batch 3mkuu Mimi nilipata batch3 M.D. na nilisoma shule ya kata o level chuo cha serikali diploma na nikaambatanisha cheti cha marehemu mzee wangu kilichothibitishwa na rita lakini hola may be batch ya pili tutaonwa kaka
Mkuu umeenda nchi gan Tena batch 3 imetoka linMr, uko nchi gani tena..!! Batch three ishatoka toka last week, Am not sure as kuna batch 3
Hapo nilikosea mkuu nilikuwa namaanisha batch 2 ndo maana ukimalizia sentensi ya mwisho nimeweka batch 3 tena kana kwamba nilijua kuwa mwanzo nimeandika Batch 2