Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Wakuu twendeni chuo tukapambane ,,binafsi maumivu nliyopitia kipndi nasubri mkopo hayatafutika kirahisi,,pia kwa wale ambao bado hawajabahatika batch 2 mungu awatie wepesi kwenye magumu mnayopitia ,,,ni ngumu kuukubali ukweli ila kila jambo linakuja na sababu .
 
Back
Top Bottom