Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

wewe si MUST usijali omba mungu ijayo utapata coz ukifatilia nazani wa must kma wapo waliopata ni wachache sana..kuna ishu ivi..omba mungu utapata
Nimepata mkuu uwezi amini,yan najihis mwepesi hapa,dah ngoja nimcheki loan officer faster
 
mimi kwangu mpka sasa pako empty ns sijaenda kuripoti chuoni ushirika moshi ...dah sijui kitatokea nini ?? na jana ndo ilikuwa deadline ya usajiri
 
Hawajatangaza,hata sa hv hanna matangazo waliyoweka me Jana nakumbuka nawaza kishenzi ntasomaje bila mkopo,nkaamua kuingia tu SIPA,nikakuta mzigo umetema.cjui wanaangalia vigezo gani Hawa jamaa au cjui ndo BAHATI,
 
Samahani kwangu, " You haven't done any corrections yet.
Appeal status currently closed.
Please naombeni mnielezee.
 
Alafu we jamaa unazingua kwahyo ulikua unapretend kua upo ARU😠😠😠😠
hahahaha dont judge the book by its own cover nikikusimulia story yangu naamini huwezi hamini kabisa . all in all lets hope for the best to get a LOAN
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom