Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Pole sana kwa ambao mmekosa mkopo mpaka sasa muwe wavumilivu kuna batch nyngne bado na pia ukikosa kabisa kuna appealing unaweza kupata hapo, mm mtoa mada naleta mrejesho kuwa nashukuru mkopo nimepata.
 
Tunakushukuru uzi wako umetuunganisha.
 
Pole sana kwa ambao mmekosa mkopo mpaka sasa muwe wavumilivu kuna batch nyngne bado na pia ukikosa kabisa kuna appealing unaweza kupata hapo, mm mtoa mada naleta mrejesho kuwa nashukuru mkopo nimepata.
Uzi murua Sana huu Tunashukuru kwa kuuanzisha hongereni kwa mliopata mikopo pia mliokosa kuweni na subira batch zitaendelea kutoka tu INSHAALAH pia tukumbuke kuna kukata rufaa hivyo msikate tamaa mapema Sana Tanzania Ni yetu sote Allah awe pamoja nanyi INSHAALAH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaan kuna mtu wa third selection amepata mkopo kweli?

Maana dogo amaepata chuo third selection, na mkopo bado.
Je, batch 3 ipo?

Yani hapa?
 
So probably wa third selection watakuwepo batch 3 et mkuu
Sijui mkuu wala nisikupe moyo kwenye hamna...Maana kama batch 2 tu watu hawajafika hata 6000 sijui hyo 3 itakuwaje..
Binafsi nilipat chuo Round 3 hadi sasa sioni mwanga wowote mbele yangu
 
mkuu Mimi nilipata batch3 M.D. na nilisoma shule ya kata o level chuo cha serikali diploma na nikaambatanisha cheti cha marehemu mzee wangu kilichothibitishwa na rita lakini hola may be batch ya pili tutaonwa kaka
 
Mr, uko nchi gani tena..!! Batch three ishatoka toka last week, Am not sure as kuna batch 3
 
Back
Top Bottom